Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,454
Duu,huyo mama ni jipuIshanitokea hii, kipindi niko bachela nyumba za kupanga, mtoto wa watu kanitembelea, usiku mvua inanyesha balaa yupo kibarazani anasonga ugali ndani mboga teyari tena kuku wa kupaka, akapita mama wa jirani akatupia macho sufuriani, weweee ugali haukuiva milele, ilibidi tule mboga tulale.
Hahahaha. Hii noma mkuuDuu hii ilitokea kwenye harusi moja hivi yani nyama ya kuku ilikuwa kama kuku waliokufa kibudu na haikuwa na Ladha kabisa...aisee watu waliharisha ile harusi sitakaa nisahau
Mshana kwani ww hukushtukia mchezo, ilikuwaje ukala wakati hizi mambo unazijua sanaDuu hii ilitokea kwenye harusi moja hivi yani nyama ya kuku ilikuwa kama kuku waliokufa kibudu na haikuwa na Ladha kabisa...aisee watu waliharisha ile harusi sitakaa nisahau
Hawezi jua mpaka limuingie au limpate mtoto wake au jirani zake au jamaa zake. Hata mm nilikuwa silijui ila Tanga nililijua. Nilikuwa naishi kata ya Usambara.Kama hujui maana yake wewe utakuwa huusiki na hilo tangazo
Tanga kuna kitu inaitwa usinga, ukila mke wa mtu unakufa na bendera yako ikiwa wima na kila mtu atajua kuwa umekula mboga ya watu.Eti mshana Ukila mdhigo na uthipige baooo na hiii itakuwa zongoo
Mkuu vipi juu ya zongo la shambani maana nalima Sana ekari nyingi mazao yaiva vizuri lakin nikija kuvuna napata kiduchu hii cyo zongo kweli
Hii tiba unafanyaje mkuumm nafahamu tiba ni kutabana yaani KUTABANA ZONGO ndio kuondoan zongo
Shida ya tiba ya ufagio anayetibu pia anapata mateso ya kugoka kama vile anatapika!!! Mi namshukuru Mwenyezi MUNGU kukaa kwangu sambaani kote alinilinda sikuwahi fikiwa na zongo hata siku mojaKutabana zongo nkuhumpunta na haghio mwe cheni
Sisi wahehe tunaita "lukupi"Mkuu vipi juu ya zongo la shambani maana nalima Sana ekari nyingi mazao yaiva vizuri lakin nikija kuvuna napata kiduchu hii cyo zongo kweli
Wadigo nomaTanga kuna kitu inaitwa usinga, ukila mke wa mtu unakufa na bendera yako ikiwa wima na kila mtu atajua kuwa umekula mboga ya watu.
HahahahahaLisilotumbulika
Duh..!! Ndio naifahamu leo hii.Tumbo linauma, linajaa gesi, huendi choo, hujisikii kula, wakati mwingine kuharisha kunakuwepo, wanasema ukinywa maji ya magadi inasaidia na wale wenye imani za kihivyo ndo huwa wana fagia tumbo. Ajabu kuna watu wanamacho ya zongo lakini wenyewe hawajui.
UKIISHI NA WACHAWI UTAJUA TIBA ZAKE PIAKumbe mijichawi mingi humu duh!
HAHAHAHAAAA NA YY ANA NGAO ZA HUKO KWAOSasa ukimpiga Magu hiyo kitu si atahama nchi? Wewe unatafuta ugomvi na wanainji.