Hiiii dawa nn thathaAisee mbona zongo lingekuwa hot sana mijini ?
Hata banana poa tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] labda kiroba cha burudani wine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hii hasa shughulini kama msibani au harusini, akina mama wanapenda saana hii kukomoana, nilikua nawaona wakina mama wanatupia chumvi kwenye kuni kabla hawajaanza kupika madai yao wanajikinga na kijicho...Na zongo la chakula hakiivi na kikiiva hakina Ladha kabisa hasa nyama
mm nafahamu tiba ni kutabana yaani KUTABANA ZONGO ndio kuondoan zongoUchawi wa kisambaa huwekwa machoni mwa mrogaji akikuangalia tu au akiangalia unachokula tayari umenasa utaumwa tumbo mwanzo mwisho
Tiba ya ni fagio inaitwa kuhumputa yani kupepewa na ufagio usoni na tumboni
iyo kitu kuna kitu inaitwa shakirizi yan ukimpiga mtu shakirizi huyo mtu anauhama mji anakwenda mbal na hataka arudi tena ktk huo mji asilani..........SHAKIRIZINataka nimpige Zongo Magufuli asije huku ofisini kwetu kutumbua majipu.
iyo kitu kuna kitu inaitwa shakirizi yan ukimpiga mtu shakirizi huyo mtu anauhama mji anakwenda mbal na hataka arudi tena ktk huo mji asilani..........SHAKIRIZI
Zongo pia huitwa Kijicho. Hata asiyekuwa mchawi akikuangalia vibaya unaweza kudhurika kama huna kinga ya Mwenyezi MUNGU. Nilikaa sambaani kama mwakabmmoja hivi, wale watu ni wataalam wa mazongo! Usile kitu hadharani, unalo!!!!! Kuna jamaa alipatwa zongo duuuuu, Sina hamu na ile kitu maana aliteseka usiku kucha anatapika mayai viza.Tumbo linauma, linajaa gesi, huendi choo, hujisikii kula, wakati mwingine kuharisha kunakuwepo, wanasema ukinywa maji ya magadi inasaidia na wale wenye imani za kihivyo ndo huwa wana fagia tumbo. Ajabu kuna watu wanamacho ya zongo lakini wenyewe hawajui.
Hiyo dawa niliisikia sambaani huko.Aisee umelichambua zongo vizuri sana pia kuna dawa ya makata ni tiba ya zongo
Waulize watu wa Tanga!Zongo n nn mkuu?