figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,643
Huyo ni mtoto tu, mtu mzima huwezi kurisk hivyo mkuukuna binadamu wana roho ngumu.... mmmh ningekuwa nimeloa mkojo hapo
Huyo ni mtoto tu, mtu mzima huwezi kurisk hivyo mkuu
Sasa Mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?hadi mwili unasisimka loh... yawezekana piawe unaweza malalia nyoka hata kama hana sumu? kwa snake park ukienda unaweza mbeba?

Na kinyisi laini Kwi kwi kwi kwiiiiikuna binadamu wana roho ngumu.... mmmh ningekuwa nimeloa mkojo hapo
Sasa Mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?
Na kinyisi laini Kwi kwi kwi kwiiiii
yule wameshamzoea haswaa hata hawamwogopi tena wanasema vingine ni koboko havina sumu na hawaviogopi kabisasasa mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?
hata hichi kimenisisimuaSasa Mwili usisimke kwa ajili ya nyoka huyo tu? Na ungemuona yule "nyoka" mwingine ungesemaje?
Nadhani kuna vitu ambavyo unaweza kusisimka