Thubutu! Hapo Nitawasindikiza na Brass Band

Thubutu! Hapo Nitawasindikiza na Brass Band

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,038
Reaction score
74,736
Ndio jibu sahihi litakalo tolewa, au kuna lingine?
masoudkipanya___B3JNidiD7i0___.jpeg
 
Kwa wajuvi wa sheria, Masoud Kipanya asaidiwe kuielewa sheria ya uhujumu uchumi na kutakatisha fedha.
Kweli kabisa, maana amekuwa kama kijibwa kinavyo msogelea chatu kwa hiari.
Money laundering na uhujumu hauko mbali naye maana siku hizi watu wanazawadiwa tuu kisha wanaambiwa wakiri na kuomba radhi
 
Hiyo katuni ukiiangalia sana halafu ukaufikirisha ubongo wako vizuri, Alievaa miwani kweli anatisha, ukiingia kwenye 18 zake lazima uende kutubu tu, hamna namna.
 
Huyu kipanya sometimes huwa naogopa hata kumzungumzia....huu ujasili ni level nyingine kabisa
 
Huyo jamaa Katuni zake walengwa ni IQ levels ya Watoto wa Shule ya msingi kwa maana ni simple sana, sasa nashangaa unavyozishabikia, unawezaje mkubwa mzima kushabikia idea simple kama hiyo?
 
Huyo jamaa Katuni zake walengwa ni IQ levels ya Watoto wa Shule ya msingi kwa maana ni simple sana, sasa nashangaa unavyozishabikia, unawezaje mkubwa mzima kushabikia idea simple kama hiyo?
Jamani oneni kubwajinga hili! Mbona unajishusha sana zaidi ya ulivyo?
 
Kweli kabisa, maana amekuwa kama kijibwa kinavyo msogelea chatu kwa hiari.
Money laundering na uhujumu hauko mbali naye maana siku hizi watu wanazawadiwa tuu kisha wanaambiwa wakiri na kuomba radhi
Si anaomba tu msamaha Kama Nape mbona Nape aliomba msamaha akasamehewa na Sasa hivi rais wetu sio mshamba tena Kama walivyosema awali Nape na Kinana.
 
Back
Top Bottom