TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Jul 22, 2011 #21 That's sad yet a funny joke.....
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,249 Jul 22, 2011 #22 Yah kwa giza totoro maisha magumu naona kama kuna jehanum ukifa mungu atuepushe maana tushaanza onja joto ya jiwe apa apa
Yah kwa giza totoro maisha magumu naona kama kuna jehanum ukifa mungu atuepushe maana tushaanza onja joto ya jiwe apa apa
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Jul 22, 2011 #23 Hahahaaaaa, bwahahahaaaaa! niko na wakwe jamani wataniona kichaa kucheka namna hii! hehehehehehe ahahahahaha! Hii ni Joke 2 bana, hata ange2mia jina la mtu yeyote yule ni poa! acheni kuchkulia serious kila kitu bana!
Hahahaaaaa, bwahahahaaaaa! niko na wakwe jamani wataniona kichaa kucheka namna hii! hehehehehehe ahahahahaha! Hii ni Joke 2 bana, hata ange2mia jina la mtu yeyote yule ni poa! acheni kuchkulia serious kila kitu bana!
J JACADUOGO2. JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 930 Reaction score 220 Jul 22, 2011 #24 Mandela is still alive bwana!
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,848 Jul 23, 2011 Thread starter #25 Bubu Ataka Kusema said: Naaaaaaah! 🙂 🙂 I assure you bro that I am not scared, but IMHO it is not appropriate to use Mandela's name in that joke. Have a great weekend Bro 🙂 Click to expand... Sawa mkuu wangu, ndio maana nikasema kuwa wewe fikiria kama vile hii joke ni ya miaka 20 mbele, au unaonaje...!? aha ha ha, haya mkuu, siku njema.
Bubu Ataka Kusema said: Naaaaaaah! 🙂 🙂 I assure you bro that I am not scared, but IMHO it is not appropriate to use Mandela's name in that joke. Have a great weekend Bro 🙂 Click to expand... Sawa mkuu wangu, ndio maana nikasema kuwa wewe fikiria kama vile hii joke ni ya miaka 20 mbele, au unaonaje...!? aha ha ha, haya mkuu, siku njema.