R Reality Master Member Joined Dec 10, 2020 Posts 15 Reaction score 14 Jul 6, 2023 #1 Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,610 Jul 6, 2023 #2 Reality Master said: Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao, hili si wazo geni kwa wanajamii Forums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani. Click to expand... Mpwayungu Village njoo huku
Reality Master said: Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao, hili si wazo geni kwa wanajamii Forums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani. Click to expand... Mpwayungu Village njoo huku
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,000 Reaction score 15,506 Jul 6, 2023 #3 Unatumia Id za kawaida
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,655 Reaction score 21,457 Jul 6, 2023 #4 Picha video basi ujazie nyama nyama tuone tujipakulie na sisi au tupe link tukajimix 404: Page Not Found
Picha video basi ujazie nyama nyama tuone tujipakulie na sisi au tupe link tukajimix 404: Page Not Found
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,655 Reaction score 21,457 Jul 6, 2023 #5 Offshore Seamen said: Unatumia Id za kawaida Click to expand... Na unatumia namba ya simu kufungua akaunti sio email 404: Page Not Found
Offshore Seamen said: Unatumia Id za kawaida Click to expand... Na unatumia namba ya simu kufungua akaunti sio email 404: Page Not Found
R-K-O JF-Expert Member Joined Jun 27, 2023 Posts 482 Reaction score 2,191 Jul 6, 2023 #6 Hii app ya threads haina maisha marefu imekuja kushindana na twitter. Ndani ya miezi miwili tu itapoa
Hii app ya threads haina maisha marefu imekuja kushindana na twitter. Ndani ya miezi miwili tu itapoa
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,473 Jul 6, 2023 #7 Ubora na upekee wa jf ni usiri wa kumlinda mchangiaji. Instagram hakuna usiri! Poyuka kama unavyopayuka hapa jf uone cha mtemakuni!!
Ubora na upekee wa jf ni usiri wa kumlinda mchangiaji. Instagram hakuna usiri! Poyuka kama unavyopayuka hapa jf uone cha mtemakuni!!
Cymon Taylor JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,762 Reaction score 3,446 Jul 6, 2023 #8 Kuna mitandaoni nadhani mpaka siku naondoka Duniani sijui kama nitatumia, kwa kweli nimeshindwa Facebook nilijaribu kufungua 2015 nikashindwa kutumia Instagram nilijaribu kufungua 2015 sidhani kama hata miezi 2 ilifika nikaiacha mwaka huo huo Twitter nilifungua na kuiacha 2014 Tik tok kiukweli huu ndo hata siujui nausikia kwa watu tu Jamii forum nilikuwa naifatilia kitambo ndio ikaniteka, by 2019 nika join. Nadhani huu ndo mtandao ulionivutia zaidi.
Kuna mitandaoni nadhani mpaka siku naondoka Duniani sijui kama nitatumia, kwa kweli nimeshindwa Facebook nilijaribu kufungua 2015 nikashindwa kutumia Instagram nilijaribu kufungua 2015 sidhani kama hata miezi 2 ilifika nikaiacha mwaka huo huo Twitter nilifungua na kuiacha 2014 Tik tok kiukweli huu ndo hata siujui nausikia kwa watu tu Jamii forum nilikuwa naifatilia kitambo ndio ikaniteka, by 2019 nika join. Nadhani huu ndo mtandao ulionivutia zaidi.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,557 Reaction score 88,561 Jul 6, 2023 #9 Yale yale ya Signal kushindana na Whatsapp sasa hivi sijui hata vimeishia wapi
The Best Of All Time JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,255 Reaction score 7,680 Jul 6, 2023 #10 Mapambano yaendelee. Twitter kuishtaki Meta. Attachments Screenshot_20230706-212446.jpg 31.4 KB · Views: 26
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,094 Jul 6, 2023 #11 Ngoja tumchangie melo aende MIGA akatetee uzalendo wake
Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,871 Reaction score 7,479 Jul 6, 2023 #12 No retreat no surrender said: Ubora na upekee wa jf ni usiri wa kumlinda mchangiaji. Instagram hakuna usiri! Poyuka kama unavyopayuka hapa jf uone cha mtemakuni!! Click to expand... Jifarij tu
No retreat no surrender said: Ubora na upekee wa jf ni usiri wa kumlinda mchangiaji. Instagram hakuna usiri! Poyuka kama unavyopayuka hapa jf uone cha mtemakuni!! Click to expand... Jifarij tu
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,273 Reaction score 25,303 Jul 6, 2023 #13 Muuza Viat said: Jifarij tuView attachment 2680508 Click to expand... Apigwe tuu META Ilisikika sauti....[emoji23][emoji23]
Muuza Viat said: Jifarij tuView attachment 2680508 Click to expand... Apigwe tuu META Ilisikika sauti....[emoji23][emoji23]