ndetichia ni ukweli kabisa kuna member huku juzi kalala, kaamka na kuleta uzi hapa kuwa Madame B kafa! Ingawa uzi wenyewe ulifutwa, ukweli unabaki kuwa tunapoteza ubunifu.
Ah! Mi sijaingia humu ndani kwa muda sasa lakini ningebahatisha kumkuta mtu anayemzushia kifo my lovely Madame B angenikomaje mpuuzi huyo? Kama ana hamu sana ya kutabiri si amtabirie Po tuone!!
Cheka tu chardams manake siku zako za kuishi zitaongezeka na kuwa nyingi ! Afu pia utajiweka mbali na uzee lol. Uso hautakunjamana kama wa babu Asprin !