Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
Afadhali Arushaone umeliona hilo , mie mwenyewe nna mpango wa kurudi zangu jukwaa la siasa manake nishachoshwa na masredi ya kitoto yalojaa chit chat....Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo la kupost chochote kinachokuja kichwani kama wanafunzi.
He he he! Afu akaambulia mitusi bila huruma lolest! Hii ndio jf bana.Wapi muzungu aliye post Utoto Umejaa humu?
He he he! Afu akaambulia mitusi bila huruma lolest! Hii ndio jf bana.
Hahahahaaa...Wana Chit-Chat ukimwaga mboga wanamwaga ugali na kutia sufuria mchanga.
Hahahaha! Na ukisema sana Nicas Mtei atakwambia unatafuta umaarufu lol! Chit chat oyeeeeee! Sasa hivi yashaanza kumshinda na kumkera Arushaone tehe tehe!Hahahahaaa...Wana Chit-Chat ukimwaga mboga wanamwaga ugali na kutia sufuria mchanga.
Hahahaha! Na ukisema sana Nicas Mtei atakwambia unatafuta umaarufu lol! Chit chat oyeeeeee! Sasa hivi yashaanza kumshinda na kumkera Arushaone tehe tehe!
:target::target::target::target::target::majani7::majani7::majani7: BANGI NIBANGUE,
CHITCHAT WASINIJUEEE
Hata hivi ulivyouliza pia ni utoto! Swali la nyongeza?Hivi utoto ni nini?! Nisaidieni kwanza hapo halafu ndio nitarudi. Nitafurahi zaidi nikipata na mifano dhahiri.
Hata hivi ulivyouliza pia ni utoto! Swali la nyongeza?
Pal Catherine, tushapoteza members wengi sana wa CHIT CHAT baada ya kuona ni mathread mengi yamekaa kiutoto na mengine yamekopiwa na kupestiwa hapa aidha kutoka FB au za hapahapa za zamani!!
Kesi gani ama yeye mwenyewe ajibu tuhuma?
let's talk abt anything lakini sio nonsense. ngoja pal aje kutafsiri.. lolkabla klik kwenye forum ya CHIT CHAT utakuta maneno hayo hapo chini
- General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi tafsiri yake ni nini? naomba mtoa mada na waliokusapoti mnitafsilie kwa kiswahili maana wengine hapa hii lugh ya akina thank you tumekariri tu, si unajua tumesoma zile shule ambazo kila kijiji zipo