thread ya kuchakachua

hahahahah.... Hujapata nyumba ndogo ?
Mbona ijumaa hukutokea kama bado upo?

Bado sijapata na wale wa kuhit & run sitaki bado niko kwenye uchambuzi mtambuka
ijumaa majukumu yalinizidi umri nikachemka ila next kabla sijababuka kwedna dar ntaomba wadau tukutane kwa hisan ya TBL
 
Jiwe Linaloishi unamkosea heshma shareholder! Akiamua kuwithdraw capital ujue hakutakuwa tena na bizinez wala nini! Ohooo. . .
aahhh hujajua siri ya mtungi tu mi ni mmoja wa KGB kwahio wajipange wakija kichwa kichwa utasikia tu kazi Ya Mungu haina makosa
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa kapata mke mpya huyu babu Asprin sio bure ati

Haya nimerudi tena niliwaambia jamaa noma hamkusikia kashfa kibao Lady Passion yupo central Dar na Manoah Msimbazi central toka jana huku kuna majambawazi nawaelezeni kuweni makini watu hawana ajira ck nzima amekalia mtandao kila post anachangia alafu mnajiona wajanjaaaa!!! Nimepita tu wajameni!!
 
Last edited by a moderator:
Bora umepita! Manake hulipii mtu bundle unaumia roho hivi!
 
Poa ipo ck utajua naumia au nanunuliwa bundle weye inaonekana mvivu wa kupambanua mambo"

Mkuu, salama lakini??...naona unaandika mambo shaghalabaghala
Siwezi kuhangaisha ubongo wangu kufikiri na kubambanua mambo nisiyohitaji kuyaelewa.
 
Ama kweli thread ilipata wachakachuaji!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…