Budy,
Those days were those days.
palipo na wengi pana Mengi, kipindi hicho members walikua wachache.
sasa hivi members ni wengi, with different backgrounds,
Akili za watu hazifanani kabisa mkuu, Ndio maana Darasani kuna wa kwanza hadi wa mwisho.
Kuna wachache wanazidisha mzaha kwenye mambo muhimu lakini Mods wanashughulikia hilo.
msaada wako pia unahitajika sana, Remember the moderators are no small gods! They are human beings like you.
Unapoona Post ambayo inapoteza credit ya JF, just report Immediately and the moderators will do the needful.
I gues you are aware of the red button on top of any Post!
Naomba nimalize kwa kukushukuru: Thank you alot for your observation.
Ushauri wangu kwa Mods: Try to introduce registration fee, hii itapunguza abuse Kidogo, huu uhuru wa kujisajili bure wengi tumeshindwa kuutumia.
Tushirikiane kwa pamoja Kuijenga hii Forum ya jamii.