Thread sounds catchy eeh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thread sounds catchy eeh?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BrantCawen, Mar 29, 2011.

 1. B

  BrantCawen Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm afraid inaweza kuhamishwa kwa sababu it does not reasonate with the mentality ya watu humu which is quite rather sad

  Nakumbuka the old JF used to have the likes of Prof Mbilinyi's and so on lakini sasa hivi tumekuwa kama vile chaka la ma anti intellectuals, free minds and mbaya zaidi we are all forced hate those without different opinions.

  Its supposed to make us think independently lakini naona imekuwa kama vile we are back to the dark ages. Its always about sidelining views na hii ni hatari sana.

  I mean kama kuna mtu anasema anaonekwa kwa sababu ya dini yake...well bring it on awe Mohammed Said au Kakobe. I mean tutaendelea kuwakimbiza watu mpaka lini? January Makamba na JJ MNyika wangekuwa formidable members humu lakini we are so bent on attacking them as individuals than anything else.  Sasa uvumi ni kuwa hii ni forum ya CHADEMA na mimi nawajibu si kweli kama ingekuwa hivyo mbona hatuoni matangazo ya Chadema?

  Do you guys remember those days JK alikuwa halali mpaka aingie kutazama JF? well nowadays apparently he can be found browsing pages za New York times and Goodman Bergdorf !__________________________
  mother of the bride dress
  mother of the groom dresses
  flower girl dress
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Are you sure???
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Budy,

  Those days were those days.

  palipo na wengi pana Mengi, kipindi hicho members walikua wachache.

  sasa hivi members ni wengi, with different backgrounds,

  Akili za watu hazifanani kabisa mkuu, Ndio maana Darasani kuna wa kwanza hadi wa mwisho.

  Kuna wachache wanazidisha mzaha kwenye mambo muhimu lakini Mods wanashughulikia hilo.

  msaada wako pia unahitajika sana, Remember the moderators are no small gods! They are human beings like you.

  Unapoona Post ambayo inapoteza credit ya JF, just report Immediately and the moderators will do the needful.

  I gues you are aware of the red button on top of any Post!

  Naomba nimalize kwa kukushukuru: Thank you alot for your observation.

  Ushauri wangu kwa Mods: Try to introduce registration fee, hii itapunguza abuse Kidogo, huu uhuru wa kujisajili bure wengi tumeshindwa kuutumia.

  Tushirikiane kwa pamoja Kuijenga hii Forum ya jamii.
   
 4. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Some members are Abusing (Abnormal Use) the freedom we have in here where we dare to speak openly.
  But all is not lost yet and the absence of the likes of Prof Mbilinyi may not be an indicator poor performance by JF-mods. Mbilinyi might have gone for some other reasons, BTW tuna madokta, injinia, wanasheria, wajasiriamali, wanafunzi, kibao tu hapa.

  Hili jukwaa kwa sasa ni la moto sana kwa JK sidhani kama ana ujasiri wa kupita humu tena na tena. Atakuwa kaajiri mtu wa kumsomea na/au kupindisha mijadala.

  As of today JF had Registered Members: 34,367. Obvious out of these hukosi watukutu hata kama wote tungekuwa masheikh au wachungaji, ndio raha ya diversity.

  Mlachake ameshauri introduction ya registration fee (or simply membership fee), kama inaweza kupunguza pumba litakuwa wazo zuri.
   
Loading...