Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
Naunga hoja mkono,hope ujumbe utafika kwa wahusika
Naunga mkonyo hoja
mdomo hauna ulimi, aaah mfupa hauna ulimi...
Eti ukitaka kwenda Bandarini unapitia njia ya wapi?
JF ya siku hizi ikiwa na element nyingi za FB.
Mkuu hata hii thread yako pia inaboa
Mkuu hata hii thread yako pia inaboa
Na wewe kama inakuchosha husiendelee kuifatilia, of course ni kweli mara nyingine kuna thread zinaboa ila hauwezi kuanza kulimit mtu humu, hili ni jukwaa huru as long as wasitoke nje ya maadili... Kwa upande wangu nikiona thread michosho huwa naachana nayo!
aisee hata mashuleni kuna levo mbalimbali huwezi ukawachanganya chekechea na darasa la sita uunde timu ya shule mathalani ya mpira wa miguuNa wewe kama inakuchosha husiendelee kuifatilia, of course ni kweli mara nyingine kuna thread zinaboa ila hauwezi kuanza kulimit mtu humu, hili ni jukwaa huru as long as wasitoke nje ya maadili... Kwa upande wangu nikiona thread michosho huwa naachana nayo!
Nawewe unatuchosha pia