Thread nyingi hapa ni za kufikirika na hazina uhalisia

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia.

Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa kufanya feasibility study vizuri kwani sijafanikiwa kuwapata wanaofanya kilimo cha kisasa chenye mafanikio ambayo yamekuwa yakiandikwa hapa. Kuna watu baadhi nimejaribu kuwa-pm lakn huwa pm hazijibiwi. Kuna mmoja alijitambulisha ana group la whatsApp linalohusiana na kilimo nilimwomba aniunge lakini akanikatalia kwa kusema nianze kilimo kwanza then ndio ataniunga.

Kutokana na hayo nadhani kuwa mengi yanayoandikwa hapa ni ya kufikirika na sio halisi....
 
SIO KWELI UNACHOKISEMA..MIE PIA NILIKUA MSOMAJI KAMA WEWE TU LAKINI NILIPOAMUA NA KUWEKA NIA NIMEINGIA KWENYE KILIMO RASMI TOKEA APRIL NIMEANZA NA KULIMA MATANGO NA MUDA HUU NAVUNA....NA PROJECT YA NYANYA IKIENDELEA VIZURII..NI KWEL MAGRUP MENGI YANAHITAJI UWE NA SHAMBA THEN WAKUSAJILI..COZ WENGINE HAWAPO SERIOUS SI UNAJUA NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA MFANO SASA NDUGU WANAKUADD KWENYE GRUP LA KILIMO UNAANZA STORY ZA MIPIRA UNADHANI MTAENDA SAWA? CHA MSINGI TAFUTA SHAMBA NA VITENDEA KAZI UWEKE NIA UONE KAMA HAWAJAKUELEKEZA.

KIUFUPI HILI JUKWAA LIMENISAIDIA SANA..THOU SICHANGIAGI NAPITA KIMYA KIMYA TU...! KARIBU KWENYE KILIMO MKUU ITS REAL..
 
Hongera sana. Matango unayalima wapi mkuu? Na je soko lake likoje?
 
Mkuu Humu Ndani Wamo Wanaofanya Kwa Vitendo Na Wamo Wanaofanya Kwa Maneno ... Mimi Binafsi Kuna Member Humu Ndani Nimejionea Mwenyewe Kwa Macho Yangu Amenunua FUSO Mpya Baada Ya Kuuza Nguruwe Wake ... Kwa Ushauri Wangu Huwezi Kufanikiwa Kwenye Kilimo Au Ufugaji Kwa Kumtegemea Mtu Akuambie Inalipa Au Hailipi ... Ni Vema Ukajaribu Wewe Mwenyewe Binafsi Kwa Vitendo Angalau Kwa Kuanzia Mtaji Kidogo Tu ... Ukiona Inalipa Basi Ongeza Mtaji Upanue Mradi Wako na Kama Hailipi Basi Achana Nayo Na Utafute Fursa Nyingine ...
 
basi kama ni kweli tuwe na nia ya dhati ya kusaidiana. mtu akikuomba ushauri msaidie
 
Kiukweli kama ni msomaji,hapa jamii forum upande wa kilimo na ufugaji,kila kitu kipo.Ni wewe kuamua uanze na kitu gani.Mimi nina Kuku na nishafuga aina zote kwa sasa nina chotara,Nina bata wa kawaida nina nguruwe,pia Sungura nipo Dodoma.Uliza chochote kwangu kuhusu mifugo hiyo
 
SIO KWELI UNACHOKISEMA..MIE PIA NILIKUA MSOMAJI KAMA WEWE TU LAKINI NILIPOAMUA NA KUWEKA NIA NIMEINGIA KWENYE KILIMO RASMI TOKEA APRIL NIMEANZA NA KULIMA MATANGO NA MUDA HUU NAVUNA....NA PROJECT YA NYANYA IKIENDELEA VIZURII..NI KWEL MAGRUP MENGI YANAHITAJI UWE NA SHAMBA THEN WAKUSAJILI..COZ WENGINE HAWAPO SERIOUS SI UNAJUA NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA MFANO SASA NDUGU WANAKUADD KWENYE GRUP LA KILIMO UNAANZA STORY ZA MIPIRA UNADHANI MTAENDA SAWA? CHA MSINGI TAFUTA SHAMBA NA VITENDEA KAZI UWEKE NIA UONE KAMA HAWAJAKUELEKEZA.

KIUFUPI HILI JUKWAA LIMENISAIDIA SANA..THOU SICHANGIAGI NAPITA KIMYA KIMYA TU...! KARIBU KWENYE KILIMO MKUU ITS REAL..
Mkuu naomba nitembelee shamba lako ili nijifunze namna unavyolima
 
Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia.

Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa kufanya feasibility study vizuri kwani sijafanikiwa kuwapata wanaofanya kilimo cha kisasa chenye mafanikio ambayo yamekuwa yakiandikwa hapa. Kuna watu baadhi nimejaribu kuwa-pm lakn huwa pm hazijibiwi. Kuna mmoja alijitambulisha ana group la whatsApp linalohusiana na kilimo nilimwomba aniunge lakini akanikatalia kwa kusema nianze kilimo kwanza then ndio ataniunga.

Kutokana na hayo nadhani kuwa mengi yanayoandikwa hapa ni ya kufikirika na sio halisi....

Nenda SUA au taasisi nyingine za kilimo ukakutane na wataalamu huko.

Jamiiforums ni sehemu ya kupeana mawazo, mengine komaa kivyako.
 
Kiukweli kama ni msomaji,hapa jamii forum upande wa kilimo na ufugaji,kila kitu kipo.Ni wewe kuamua uanze na kitu gani.Mimi nina Kuku na nishafuga aina zote kwa sasa nina chotara,Nina bata wa kawaida nina nguruwe,pia Sungura nipo Dodoma.Uliza chochote kwangu kuhusu mifugo hiyo

Nataka nianze kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya krismasi mwaka huu.

Inawezekana?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom