Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Msaada mechi ya Juve na barcelona jamani. Yan niko mazingira ambayo hamna tv kabisa. Msaada jamani nipate linki ya live hiyo mechi.
 
Msaada mechi ya Juve na barcelona jamani. Yan niko mazingira ambayo hamna tv kabisa. Msaada jamani nipate linki ya live hiyo mechi.
Andaa bando lako tu na uwe na PUFFIN BROWSER ktk simu yako

Mv Jr
 
Hizi link fake mkuu, adds kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la kuwa na ads n kweli but kuna ambazo huwa hazina ads mpaka kuzichambua kwanza coz zipo nying ktk game 1 na pia huwa zinabadilika mara kwa mara ..mfano hizi zilikuwa namba 7 but zimebadilisha kwenda namba 5 ndo maana zimekuwa na ads.
Jarib kufuatilia hz za second half uone.

Mv Jr
 
Maelezo ya hizo link.
YA 1. BARCELONA 2. BAYERN 3. MAN UTD 4. PSG 5. ATLETICO

Mv Jr
 
Wakuu leo link hazikukaa poa kbs kwa sababu ndo mwanzo natumain kesho zitawekwa mapema na maelezo yake vzr .
Uck mwema wadau

Mv Jr
 
Back
Top Bottom