Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Nahata kodi nayo inapiga fresh tu,hasa kwawale tulioko mabonde kuinama ambapo network ina matege
 
Habari za majukumu Jamiiforums members,
Nahitaji program ya kuangalia mpira online kwa sababu Leo sikuwepo nyumbani au maeneo ya karibu na Television kwahiyo nataka niangalie mechi kati ya Real Madrid na Manchester United.

Asante sana kama mutatoa ushirikiano kwa post hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuangalia mechi mbalimbali kupitia link zinazoweka hapa kupitia simu yako.. kikubwa uwe na PUFFIN BROWSER katika simu yako..

NB. Link huwa zinabadilika mara kwa mara ktk mchezo husika na huwa zinachelewa kwa dk 2-5 kabla ya kuanza kuonekana..

LEO ANZA NA HII..

15:30 - KAA GENT vs GENK

BOFYA===>KAA Gent vs Racing Genk Live Stream | UsaGoals TV

NB. TUMIA PUFFIN BROWSER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom