Thousands face Starvation in Tanzania.food aid to be sent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thousands face Starvation in Tanzania.food aid to be sent

Discussion in 'International Forum' started by Nairoberry, May 21, 2012.

 1. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mussa Juma, The Citizen
  Correspondent
  Arusha. About half a million people
  in Arusha Region face an acute food
  shortage because of poor harvests
  at the end of the current farming
  season, it was announced here at
  the weekend.
  At least 24,280 tonnes of food will
  be needed to feed families
  contending with shortage of food
  between now and July this year, the
  regional consultative committee
  (RCC) meeting here was told.
  A report on the food situation in
  the region indicates that 508,831
  people will face a food crisis and
  that all the districts, including the
  Arusha municipality, would not be
  spared.
  In Arusha, 23,779 people will be
  affected and would need at least
  1,141 tonnes of food until August,
  while 3,712 tonnes would be
  needed for 77,343 people in
  Ngorongoro District.
  Food crisis will also hit Karatu and
  Monduli districts where 162,954
  and 60,000 residents respectively
  will need assistance. However, the
  report could not indicate how many
  tonnes have to be sent there for
  those without food in the two
  districts.
  Meru, Arusha and Longido districts
  would need 3,000; 2,000 and 3,744
  tonnes of food respectively, the
  report says, adding that the
  government has already distributed
  18,733 tonnes of maize and
  disbursed some Sh595 million to
  cover the distribution cost.
  Speaking at the meeting, the
  regional commissioner, Mr Magesa
  Mulongo, called on the district
  commissioners to monitor the food
  situation closely so that the
  government can act immediately
  on the crisis.
  Add this page to your
   
 2. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  thecitizen.co.tz/business/13-local-business/22504-thousands-face-acute-food-shortage.html
  so shocking i thot tz is a breadbasket very bad pangs of hunger
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  dont you have kenyan forums you could go to and leave us alone...if tz is that bad why dont u go back to your own daamnn country...am sure life is better over there.... this forum is for tanzanians...we are poor and we are so many things so what..just leave us alone...mind ur own fukin business u moron!!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nairoberry ni mbongo pure. Na kuna kipindi anajisahau.
   
 5. bona

  bona JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  look man, i am a tanzanian but i think the guy ur accusing is less moron than u, this forum is open for everybody regardless of their national identity, if there is hunger somewhere in tanzania there is hunger u cant change that besides why such attittude to your fellow member, if you got something else different then share the info so that we can prove once and for all he is lying or not, he is very gentleman because he gave hisw source, can you dispute that?
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbeya wakulima wanalia, vyakula vinaozea ndani hawana pa kuuzia! Kinachohitajika ni kusafirisha kwenda kwenye mikoa yenye upungufu.
   
 7. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 280
  Mkulu you are very...... Sisi hatuna shida ya chakula..... sisi tuna shida ya ugawaji/usambazi wa chakula...
   
 8. s

  sanjo JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Why abusive language to your fellow JF member? After all, Tanzania is a sub saharan country where hunger, poor governance and poverty in the midst of wealth are very common. On the other hand, Nairoberry has to note that Tanzania is a huge country with a lot of potential.

  Has he been to Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Sumbawanga, Iringa etc? These are truly breadbasket areas. Food shortage in Arusha region shall be addressed by the surplus harvest from these areas. This idea is basically refered in economics the theory of comperative advantage, that is the ability of a person or a country to produce a particular good or service at a lower marginal and opportunity cost over another. Nairoberry, this is a trading opportunity for you. To be successful in this line of business you need a working capital, appropriate networks and supporting infrastructure such as reliable transportation system.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Kweli asiyejua maana hawezi kuambiwa maana. Hizi siasa za maji taka...kati ya Kenya na Tanzania, wapi watu wanakufa njaa?
   
 10. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  he.he.he.. Them CCM diehards...may you allow me to say that your denial is in view of the hunger being man-made as opposed to being a natural occurence. Mwasambaza chakula when you need to, yet the articles says the area affected is in "dire" need
   
 11. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hehehe.........Eh......:crazy: Yours is a ham-fisted zeal to block your nationalism from from falling into disrepute. Unataka kujustify na kufunika uvundo wenu kwa kuchochea kufunua uvundo kwa jirani?
   
 12. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapa hakuna cha siasa za majitaka.Kimsingi tunapaswa kujiuliza uhalisia wa hii habari ya Citizen, tujiridhishe kabla ya kumshambulia mleta uzi, tukizingatia kuwa ametupa na source ya uzi wake, sasa kwa nini tumshambulie yeye? Nijuavyo mimi (hata baadhi wamechangia tayari) Tanzania huwa haikumbwi na balaa la njaa isipokuwa ugawaji na usambazaji. Tuseme ukweli, tunapoongelea usalama wa chakula si kuwepo maghalani tu, bali ni pamoja na ufikiwaji na upatikanaji (accessibility and availability). Endapo hali ya kipato ni duni, hata kama nchi imezalisha chakula cha kutosha, kuna uwezekano mkubwa baadhi ya maeneo kukumbwa na njaa kwa kuwa hakipo -accessible & therefore not available. Kwa kuwa ni ukweli kuwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu yalikumbwa na ukame mwaka huu, uwezekano wa mkoatajwa kuhitaji chakula unaweza kuwa mkubwa, na hii inahitaji kuagiza chakula(sio kutoka nje) kilichoko Rukwa, SOngea na Mbeya kuletwa Arusha. Wiki hii nipo Iringa, lakini naona magari ya jeshi yakihamisha nadhani chakula kuleta Dar. Kwa hiyo msaada wa chakula inaweza isiwe kutoka nje but from within, na kutoa/kuuza kwa bei ya ruzuku
   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  the good thing is the rescue will come from our food reserves unlike in kenya where 13 mio people r currently facing hunger n there is no food to give them from ur pathetic government coffers! You will look on us to supply u food! go to hell fool!
   
 14. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Citizen au Mwananchi na magazeti ya Kenya sio ajabu wakaandika uongo
   
 15. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 280
  Kabaridi Hueleweki .......
  lakini kwa kifupi.... sisi tunapambana na zoezi la usambazaji...... na si la uzalishaji mahindi na nafaka nyingine ni nyingi sana..... na ndiyo maana tuna miradi mingi sana ya barabara....

  by the way poleni na mabomu ya jana....
   
 16. livefire

  livefire JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  listen to what you speak and come loud again. Celebrating human suffering manifests in many forms, no nation is perfect and i hope Tanzania never gets a calamity, only then will you realise that the govts in Africa are reactive rather than proactive.
   
 17. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Zilezile siasa za kulinganisha ubora na mapungufu baina ya KE na TZ. Haijalishi nchi gani wanakufa wengi kwa njaa, cha muhimu ni kuwa WATU wanakabiliwa na tatizo la chakula, iwe KE, TZ au popote duniani, hasa Africa. Wananchi wa Afrika hawastahiki kufa kwa njaa.

  Again, SISI, NYINYI, WAO - Aghrrrrrrrr! Chakula hata kiwepo duka la jirani, kama huna uwezo wa kununua, utakuwa na shida ya chakula, sembuse kuwa kiko mikoa mengine. Isionekane ugawaji/usambazaji wa chakula ni shida ndogo, ukizingatia ulegelege wa viongozi wetu, uongozi mbaya na rushwa, mambo yanayotokea kila mara inapotakikana huduma hii.

  Upo sahihi Mkuu kuhusu upungufu/ukosefu wa chakula kwa maeneo nchini. Kitu kinachonisikitishwa, ni kuwa kama mwezi mmoja uliopita, Tanzania iliuza mahindi nje ili kupambana na njaa ulimwenguni.[Source:Tanzania Daily News/sabahionline.com]. Serikali ingweza kutumia pesa ilizouzia chakula nje kwa kusambaza chakula kwa maeneo yenye shida.

  Bado nahisi ni aibu, iwe kwa TZ au KE, kuwa kuna sehemu "wanakula na kumwaga" wakati wengine "literally" wanakufa kwa njaa. Narudiaa, wananchi wetu hawastahiki hilo.
   
 18. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu MAMMAMIA, ukweli ni kwamba chakula kipo kingi hapa Tz. Kama nilivyowahi kusema, magari ya mageshi yetu yanasafirisha chakula kutoka mikoani (hasa Iringa) huku nilipo na wanaleta Dar. Ukikutana nayo waweza kudhania ni misafara ya vita, but to be sincere wanasafirisha chakula (I am told) na very recently kampuni ya SIMON GROUP (YES SIMON GROUPS) imepata mkataba wa kusafirisha/kuleta chakula kutoka kwenye maghala yanayomilikiwa na NFRA (National Food Reserve Agency) kuleta Dar. Hii ina maana food shortage might not necessarily mean absence of food in the country but something else. Kwa mtindo huu kama unavyosema ni aibu kusikia njaa -tukianzia na Tanzania kwa kuwa resources zipo nyingi!
   
 19. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kuna disconect ikija kati ya Serikali ya Tanzania na watu waliomo sehemu za kule Mikoani. Malori ya kijeshi huenda yanatumika kusafirishia watu binafsi mali yao kuuza sokoni badala yafanye kazi yanayopaswa kufanya. Ripoti kama hii si ya kwanza kuhusu Hunger that is man made huko rural tanzania. Usishangae kuwa chakula kwenya maghala, yanauzwa sokoni na mafisadi, huku wenye njaa wakiathiriwa. Uzuri ni kwamba kuna baadhi yenu munakubali kuna hali ya ubadhirifu inayofanywa na serikali ikija kwa kugawa nafaka sehemu ambazo zinahitajika sana.
   
 20. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Siyo Mbeya tu mbona Rukwa mahindi yamejazana kibao, kinacho hitajika ni kusafirisha kutoka mikoa ya kusini na kwenda mikoa ya kasikazini; kama waliweza kusafirisha mahindi haya kwenda Kenya wakati wa baa la njaa huko watashindwaje kuyasafirisha mpaka Mkoa wa Arusha?

  Tanzania kama nchi atuna tatizo la chakula, tatizo ni miundo mbuni na viongozi husika kutotaka kuwajibika ipasavyo basi. Mtoa post hii nimeona ametoa comment as if TANZANIA she's in a dire straits kuhusu CHAKULA - na hii anaifanya kimaksudi tu sijuhi tatizo lake ni nini? Vitu vya kawaida tu vinavyo husu Tanzania yeye huwa na kawaida ya kuongeza HEAD and a TAIL - we angalia remarks zake baada ya kupost huzi huu, mtu wa ajabu SANA!

  Labda niongezee kitu: "who owns CITIZEN newspaper?"
   
Loading...