babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,129
- 27,254
What will happen when you have roasted meat on the table and your hands are dirty and the nearest water source is 20 kilometers away?” he posed.
Ndo maana hana muda na mikutano yao ya kijuha!
Hahahahahahahahah,Ndo maana hana muda na mikutano yao ya kijuha!
Hivi tatizo la hawa jamaa hasa ni nini?
Hahahaha hii kiboko
Umeona Asa ukajadili nini Na KenyaNdo maana hana muda na mikutano yao ya kijuha!
Mtani wangu MK254 njoo umepewa za usoMK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
Mk254 njoo utetee hapa!! Watu wamebanana kwenye mlundikano wa que ya kusubiri maji huku wakiwa hawana hata Barakoa!! Hapo mchana corona anajitafutia mawindo kwa raha zake!! Halafu ikifika usiku eti ndo wanaanza lockdown wakati mchana wote watu wako kwenye zero distance bila Barakoa wala sanitizer (kwenye clip wanasema hivyo wenyewe)!!! Halafu MK254 akikaa nyuma ya keyboard anasema Tz ni kitovu cha maambukizi ya covid 19!! Anajifanya hajui data ikoje huko worldometer!!MK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
MY TAKE
Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!
hivi kutoa maji baridi/matamu kabisa kutoka hapo ziwa victoria mpaka nairobi itaghalimu pesa kiasi gani kwa middle income earners????Nchi ya hovyo sana, kamji finyu kama kanairobi kananyukwa na uhaba wa maji for decades
Magufuli katoa maji Mwanza mpaka Tabora sasa yanaenda Singida zaidi ya kilometers 330 kwa miaka mitatu tu
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Hapa Africa mashariki hakuna wananchi wenye maisha duni kama wakenya hata wakaazi wa bunjumbura wana makazi bora kuliko makaazi ya nairobi wakenya wanaoishi kwenye slum Nairobi ni zaidi ya 82% na hizo slum ni duni kuliko mambi za wakimbizi wa burundiSidhani hata Bujumbura kama wanashida ya maji kama Nairobi, hawa kweli ni 'Failed state", yaani pamoja na mvua zote hizi bado wanashida ya maji,?
Hapo Nairobi tu makaazi 82% ni slum, mbovu kuliko kambi za wakimbizi ,yaani wakimbizi wa burundi wanamaka mazuri kuwazidi ,wakenya kubalini nyinyi ndiyo mafukara wa mwisho hapa east AfricanKiuhalisia Watanzania wanaishi maisha Bora kuliko wakenya, lakini kwa sababu wao Ni uwanja wa mabeberu wanajisifu na kusifiwa na hao mabeberu.
The indicators of poor country is lack of sufficient social services like water. Therefore Nyang'aus are the poor and failed state under the umbrella of middle income state .
Sent using Jamii Forums mobile app
This is shameful to them. Of all essential commodities water scarcity in such a great city in Eastern Zone of Africa brings bad image to them
MY TAKE
Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!
Bora la kutokuoga jamaa za Kenya hazichambagi kabisa zinanuka kinyesi zinadai kujisafisha kwa maji ni uarabu na uislamu