mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,036
MK254 amekula kona!! yuko kwenye Uzi UPI? Hata umkate kichwa hasogei hapa!!
Hahahaha aki nimecheka kwa sautiMK254 anapita kwa mbalii na ndoo yake anaenda kutafuta maji,kutoka kibera anapoishi mpaka Lang'ata na hana uhakika wa kuyapata,na anatakiwa saa12 jioni awe amerudi na ameshalala
Hiyo ni middle income.country
MY TAKE
Majirani muache husda malipo yapo hapahapa duniani! Msipoangalia hili suala la ukosekanaji wa maji, infection itaongezeka kupita maelezo!