Those dayz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Those dayz.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by manuu, Oct 24, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Inanikumbusha enzi zile za ujana wangu kipindi damu inachemka nilikuwa nikiona msichana mrembo network zangu zinakata kabisa lazima nitafute jinsi gani hata nitapiga nae story,Assume ni kwenye basi stand ilikuwa hivi:
  Mimi:Mambo vip sister?
  Sister:Saaaaf! huku anasogea mbali na mimi.
  Mimi:Ammmmmh, Sorry sister sijui wewe ni mwenyeji maeneo haya?
  Sister:No! mi mwenyeji kidogo, kwani unasemaje?
  Mimi:Aaah kuna jamaa aliniambia nitamkuta mitaa hii hapa lakini simuoni,kwani hapa si ndiyo.......?
  Sister:Yah ndio hapa, kwani we huna simu siumpigie?Hapo anaanza kunizoe na hofu inamtoka.
  Mimi:Sure,ngoja nimchek kwenye fone, Najisearch kama vile natafuta simu hafu ghafla namwambia,
  Sorry sister sijui nimeacha wapi simu yangu ebu naomba uni-bp.

  Sister:Anatoa simu,Nitajie namba zako.
  Mimi:Owk ni 076................. anajaribu kupiga hivi inalia mfukoni kwangu,Natabasamu kidogo kumuonyesha meno yangu meupe,then namwambia nashukuru.
  Sister:Mbona ulisema huioni wakati ipo mfukoni kwako?
  Mimi:To be honest nilikuwa nahitaji namba yako tu sister,Please niandike jina gani?
  Sister:Mmmmh,lazima atabasamu kidogo rohoni najua kwisha habari,Mi naitwa Ne......
  Mimi:poah,Nashukuru kwa kunipatia jina lako,Kuna masharti ya kukupigia simu just kukujulia hali?
  Sister:Majibu huwa yanatofautiana wengine watakupa muda,wengine watakuambia kama nikunijulia hali tu hamna shida.
  Mimi:Hpo nabadili story kabisa na huwa sipotezi naye muda tena,Namuaga naishia.
  Next step:

  Kabla hajakaa vizuri nimem-recharge,Nimempigia simu kila baada ya nusu saa,Nimemtumia msg kila baada ya dk 15.Yaani namjengea mazingira ya kuuteka moyo na akili yake.

  History inaonyesha kati ya wasichana kumi wanne ndiyo walikuwa wanaruka ila 6 nilikuwa nawapata.

  Mmmmmh!Namshukuru sana Mungu kwa kunipitisha kwenye age hiyo salama na sasa naitwa baba wa familia bora kabisa yenye amani,Na kikubwa tamaa ile niliyokuwa nayo yaani imekwisha kabisa.
  Praise to the lord.   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  "Kabla hajakaa vizuri nimem-recharge" Hapo ndo pamenigusaaaa! Daaah! Inaonekana ni muhongaji mzuri sana wewe, tena huongi kwa mawazo!!!? By any chance siku ukiamua kurudi IN BUSINESS dont hesitate kunirecharge VIA M-PESA!! coz you have been retired for so long THE RULES OF THE GAME HAVE CHANGED!!!! saivi recharge ni kwa M-PESA. (NEVER SAY NEVER!!!! LOL!)
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ni kweli ndugu yangu hata bibilia inasema hata kama dhambi zenu zikiwa nyekundu mkitubu mtasemehewa tu.Hongera sana na karibu kanisani kwa mtume na nabii jumapili ijayo kwa ushuhuda zaidi
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tukutane basi manuu, afu unifanyie hivyo hasa kunirecharge??

  Ila kumbe wee bado yanki, enzi natongozana ilikuwa ni barua, au akipita apige mluzi mara nne na nusu, au anisubiri njia ya kutoka kisimani.
   
Loading...