masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Nini kinafuata?hahahaaaaaaaaaaaaaa,hapo ni kushika mkono tu baaaaasi
Yaelekea uliwahi kukutwa.Hapo mara ghafla baba huyo! Mbio zake hadi vumbi
Yaelekea uliwahi kukutwa.
Mshkaji alizinyoosha na mzee, mara akajikwaa tiii chini! Alipigwa vibao vya fasta kabla hajaponyoka. Kasheshe mie sasa fimbo zake huko nyumbani
Mzee wako anaonekana ni mtata balaaaa
Siku hizo, saivi ashazeeka mwenyewe. Ila imesaidia sana.
Hapo kashakubali ila anazuga
bahati hakuna majani karibu
Hahahaha ukiomba busu unaambiwa njoo kesho
hahahahaha lol!!!! Halafu kesho ukienda mrembo humuoni...gate kali unabaki kuumwa na Mbu na kujilaumu tu LOL!!!!