[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari tupu
Sina au sijui kama ninayoKwamba wewe huna software zilizo kuwa cracked!! [emoji54] [emoji54]
Nimekupata mkuu.Basi kama una download software torrent, basi nawe pia unatumia izo Crack.. So lengo ni matumizi.
Ni crack kutoka wapi au bado sijaelewa maana halisi ya crack[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa bana Kumbe ulikua huzitambui aisee.. Basi Ata windows au Microsoft Office yako hiyo nnauhakika ni crack
Mmh hadi screenshot, nilijua kukopi tu ha ha ha kaazi kweli kweliIle application yao Hata screenshot inakataa, siku nascreenshot nilidhan Simu yangu ina tatizo kumbe ni wamezuia hicho kitu
Mi mwenyewe nilijisajili kwa namba nyingine baada ya ile ya kwanza kuisha mda wake Wa majaribio, majamaa wamejipanga kweli yan haahaaMmh hadi screenshot, nilijua kukopi tu ha ha ha kaazi kweli kweli
Maana mi nilichojaribu ni kufuta directory kufuta history zote na ku unstall ila wapi, ukisha sajili na namba moja kwa device moja imetoka hiyo..
Jamaa ni mafundi [emoji1] [emoji1]
Ni kuheshimu kazi yao tu. Mbona kuna loopholes nyingi sana kwenye th sio kwamba wanautaalamu sana sema tu hio app iko na watumiaji wa tanzania tu na nchi chache jiran ndomaana hakuna mwenye uwezo wa kucrack. Ila ingekua na watumiaji hadi India thl wangepata tabu sana.Mmh hadi screenshot, nilijua kukopi tu ha ha ha kaazi kweli kweli
Maana mi nilichojaribu ni kufuta directory kufuta history zote na ku unstall ila wapi, ukisha sajili na namba moja kwa device moja imetoka hiyo..
Jamaa ni mafundi [emoji1] [emoji1]
Haaaaah. Badilisha imei ya simu af tumia namba nyngne uone kama haitokubali. Ni kukosa utaalam tu. Sio kwamba majamaa wamebana ndo maana nasema ni kuheshimu tu kaz ya mtu coz loopholes zao bado ni nyng tuMi mwenyewe nilijisajili kwa namba nyingine baada ya ile ya kwanza kuisha mda wake Wa majaribio, majamaa wamejipanga kweli yan haahaa