This world is not physical, this world is a simulation

Crystal clear!. Thank you.
 
Hauwezi amini imegoma kuingia akilini.
Sijui akili imechoka au ni mambo yaliyonizidi uwezo.
Hapo nimeandika kama vile nilivyokua nafikiria
Ni kwamba nilitaka nitengeneze connection kati ya sayansi na kile alichoandika mtoa mada.

Kwamba kila ki2 anacho experience mtu ni matokeo ya interpretations za ubongo. Since ubongo wa mtu ndio mtu mwenyewe basi kwake huo ubongo ni 100% real, lakini interpretations za huo ubongo zinaweza zisiwe 100% real. Na hizo interpretations ndio maisha yenyewe

Nikatoa mfano wa rangi kwamba rangi haziexist nje ya ubongo wa mtu, nikimaanisha visible light haina rangi. Bali waves za light zina wavelength tofauti. Macho yetu yanaweza kutofautisha izo waves kwa njia ya rangi badala ya namba. Yani kama vile ubongo wetu unavyo tuaminisha kwamba the sky is blue ndivyo unavyotuaminisha rangi za vitu vingine.

Tunajua majina ya rangi kutokana na experience, ukiambiwa kwamba anga ni la blue basi kwako iyo rangi unayoiona angani utaikariri kama blue. Inawezekana blue ya mtu mmoja ikawa tofauti na blue ya mtu mwingine sababu bongo zetu zinaprocess rangi separately. Kama niko sahihi basi rangi na image tunazoziona sio real.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's it?
Don't you have any solid evidence to support what you just said?
I am sorry I don't mean to offend you but please go back to your library and finish your work. Then back up your theory with proof Watery.
I dont read books that offen, its something i notice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's it?
Don't you have any solid evidence to support what you just said?
I am sorry I don't mean to offend you but please go back to your library and finish your work. Then back up your theory with proof Watery.
Hivi kuna theory yenye proof ?
Ubishi tabia mbaya bibie. Ila najua huwezi kubishana na mimi, kwa sababu, malizia.
Katika pitapita zangu na kuuliza watu kuhusu ndoto, nilichogundua ni kuwa watu wengi hawakumbuki ndoto wa azoziota, wengine wanaamini kukumbuka ndo ni vibaya na unaweza kupata laana mda wote

Katika mwili wa binadam ubongo ni moja ya vitu visivyolala, hivyo basi kama hujalala unafanyanini, apo ndo jibu la ndoto huja(upande wa akili tunaohisi unalala tunapochoka)
Mimi ni moja ya watu wanaokumbuka sehem kubwa ya ndoto zetu, kwa siku naweza kuota ata ndoto kumi na nikakumbuka ndoto tano au sita vizuri nyingine nikakumbuka kidogokidogo, nikiwa ndotoni japo sina mwili na baadhi ya viungo kuniwezesha ila akili inachukua jukumu lote na kunifanya nijisikie kama binadam aliekamilika japo mwili umelala

Tukichukulia mfano mzuri sehem ya sikio la kushoto ndo inatuwezesha kusikia na kurekebisha balance ya mwili, ila ingawa ndotoni haipo tunapata balance na mda mwingine tunapoteza balance na kujisikia hivyo, ndotoni pia uwa na hisia zote za kuishi ila tofauti ni kuwa kule ni kama dunia nyingine
Kitu cha kawaida binadam wanachoongelea ni kuota unaenda kukojoa, ndoton unafata choo maana kubanwa na mikojo ni kitu kilichoingilia ndoto zako ghafla bila ya akili kujua na kugundua kama uko ndotoni au upo kwenye maisha ya kawaida, na kwakuwa ndo jinsi tulivyo kuwa programmed kuwa hivyo ndo maana inatokea hivyo, otherwise ingetokea ukakojoa automatically au kingine ila sio mtu mzima na macho yake na miguu yake anaenda chooni, na pengine hyo choo unayoiota sio unayoijua, ni mazingira mengine kabisa
So our brain is so familiar with the world kuliko binadam wahisivyo

Vitu vichache tu visivyo kwenye the "laws of the world" ndo huichanganya akili yetu, maana ni vipya kwenye huu ulimwengu
Mfano
1- Ukipindishwa kichwa chini miguu guu utaona kawaida, ila dunia yote ya mbele yako ikipindishwa juu chini we ukawa kawaida kichwa kitauma, ni kama kwenye game la computer kufanya kitu kisicho kwenye codes za computer, lazima gem ligande(li crush)

2- kuna vitu vingine vinachanganya akili kama ukioneshwa, na ukijaribu kuifikilia kwann akili inakuwa hvyo huwezi kuelewa, hyo kwenye magemu ni kama unacheza gem unashangaa character wako anafanya vitu usivyovielewa na gem linaendelea kama kawaida
,,Hii ni kama
(Zimegoma ku-upload)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinaweza zisiwe real kwa majina ila rangi zipo. Ni kama mbuzi, ng'ombe nk haya ni majina tuu ambayo brains zetu yamekariri.
Unataka kuniambia kwamba they ain't really? I mean, hebu penye rangi kwenye reply yako futa halafu weka mbuzi ng'ombe nk.
 
Watery hizi comments za Zurri umezichanganya pamoja zinahusika nini.
Kuwa serious kidogo basi kwenye mambo ya msingi. Btw thanks kwa kujibu.
 
Zinaweza zisiwe real kwa majina ila rangi zipo. Ni kama mbuzi, ng'ombe nk haya ni majina tuu ambayo brains zetu yamekariri.
Unataka kuniambia kwamba they ain't really? I mean, hebu penye rangi kwenye reply yako futa halafu weka mbuzi ng'ombe nk.
It is proved kwamba colours don't exist outside the brain, fanya research uone. Ng'ombe anaweza exist lakini si kwa namna tunavyomuona sisi.
Ubongo huinterpret taarifa kwa namna simple ambayo wewe utaelewa
- mf jicho linaona only o.4% ya electromagnetic radiation, hizo 99.6% ya information ubongo wetu hauwezi kuziinterpret
- Mwanadamu husikia sauti za frequency (20 - 20000)HZ hawezi kusikia sauti chini na zaidi ya hapo, sasa unafikiri ubongo wa binadamu unaweza kuyachambua mazingira katika uhalisia wake?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi unifundishe taratibu.
Si unajua sisi wa "hechikielo" haya mambo ni magumu kidogo Mazojms. Usichoke baada ya muda nitaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…