milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
Wanasema zinavumilia sana ukame. Bado natafuta mtu aliyelima hizo mbegu msimu uliopita anipe details. Inaonekana una uzoefu na hili zao.Kuhusu mvua usiwe na shaka, so hizo mbegu zinavumilia Hali ya ukame? Cha muhimu inyeshe ya kuoteshea tu, the rest will be history.
Naomba nikumbushe kama hutojali.Jambo moja umesahau ni la msingi kuliko uliyoandika.
Suala la Imani muhimu sana.Naomba nikumbushe kama hutojali.
Hysun 33 ni hybrid yenye uwezo wa kutoa gunia 15-18 za kilo mia mia kwa shamba la ekari moja.Tushirikishane kuhusu hiyo mbegu mkuu nimnunulie maza akapambane.
Zao la alizeti ni palizi moja tu, mvua ya kawaida tu inaiva
Suala la Imani muhimu sana.
Kijana kazi ya kuuza mundende inaendeleaje?
But all in all nakutakia kilimo chema
Wanasema zinavumilia sana ukame. Bado natafuta mtu aliyelima hizo mbegu msimu uliopita anipe details. Inaonekana una uzoefu na hili zao.
Shamba unakodi aula kwako. Nipe jibu kwanza
Trekta ninalo na Singida nakujaga. Heb nipe kazi. 0763477578
Hongera sana mkuu.Nimelima msimu huu Dodoma ekari 50 ila mvua zilikata mapema sana mambo hayakuenda vzr.Nikajaribu tena maeneo ya Msata mvua zilipoanza kama ekari 10 matokeo yake yakaenda vzr.Gharama nilizotumia kule Dom zimerudi japo bado sijakamua.
-Soko ni uhakika 100% na bei ni nzuri pia ukitaka kuuza kama mbegu.Kuna watu wa viwandani wanatafuta sana kununua zao la Hysun toka kwa wakulima wakakamue wenyewe coz Oil content inayopatikana hapo ni kubwa kulinganisha na mbegu za asili.
- Ushauri :
1.Palizi ya mapema ni muhimu sana kupata matokeo mazuri mwishoni.Ukizembea hapa utavuna kidogo
2.Kwa ekari 40 hiyo cost yako ya 5M bado ipo chini