This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

Nimefyeka eneo la ekari 60 Chunya kwa ajili ya kilimo hiki. Nami ni mdau, tushirikiane hasa kwa taarifa tafadhali. Kama kuna group la wadau wa Alizeti naomba mniunge 0679188106
Gharama za kulima ekari 60 za Alizeti si ungenunua Mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti, Karanga na Ufuta halafu ukawa unanunua unakamua mafuta hapo hapo kisha unauza kwa chupa zako mwenyewe ???
 
Gharama za kulima ekari 60 za Alizeti si ungenunua Mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti, Karanga na Ufuta halafu ukawa unanunua unakamua mafuta hapo hapo kisha unauza kwa chupa zako mwenyewe ???
Asante kwa wazo lako. Ila hamu yangu ilikuwa kulima ekari 200. Viwanda vya kukamua ni vingi na inputs hazitoshi
 
Natamani sana kupata mrejesho wa hii project
Kaka nimeshangaa kuona na wewe ukisubiri mrejesho hapa wakati mwaka juzi nilisoma thread yako ukisema unalima heka 50 na mpaka leo hujaleta mrejesho... mpaka tunaogopa sasa maana kila anaeingia kwenye hiki kilimo harudi na mrejesho nini tatizo tunahitaji kujifunza toka kwenu.
 
Sredi yangu ni ya msimu huu 2021/22 mkuu sio mwaka juzi

Hapa nipo field napambana
Nilitaka kujua kabla sijaingia
 
Sredi yangu ni ya msimu huu 2021/22 mkuu sio mwaka juzi

Hapa nipo field napambana
Nilitaka kujua kabla sijaingia
Nasubiri sana kujifunza kutoka kwako mkuu kwa sababu unawakilisha vijana wengi wa pambanaji ambao wapo kwenye harakati nyingine na wanahitaji kujaribu kilimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom