Mkuu, wewe kiangalie tu hivyo hivyo mbona cinema za kihindi na tamthilia za kichina unaangaliawaungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!
unauliza vumbi store.....lugha ni issue ili uelewe vema inabidi uangalie hata marudio ili sehemu ambayo yukuelewa mara ya kwanza uelewe!!!!!inamaana nyie wote lugha kwenu tatizo?
Youa are absolutely right...guess what it is happening on national media one that could and should be promoting kiswahili language. Mkuu hiyo ni moja ya makosa ya kiufundi tunayofanya utekelezaji wa mambo mazuri. Looking at the program agendas muandaaji should have known better kwamba audience (swahili speakers)other than studio participants would add more value to the program, after all the few english speakers (Tanzanian) audience also have a very good understanding of Kiswahili...assuming that the programme is meant for Tanzania audience and not some foreign what not.waungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!
Mkuu, wewe kiangalie tu hivyo hivyo mbona cinema za kihindi na tamthilia za kichina unaangalia
waungwana, hivi huyu baba anayeratibu kipindi hicho hapo juu(This week in perspective) audience yake huwa anawalenga akina nani. Hivi majadiliano yale ni kwa faida ya nani, wangapi wanamsikiliza kwa kiingereza. Kinaweza kuwa kipindi kizuri kwa mada zake lakini wangapi wanampata anachokiongea. Sidhani kama outside Tanzania the discussion is of any interest to them!!! I stand to be corrected!!!!!
It's truuu mkuu haina maana kipindi kuwa katika lugha ya kigeni halafu watazamaji wengi wa Tbc ni waswahili. Haileti kabisa
Nilikuwa naangalia na nikaanzisha thread, imegoma kupanda, jamaa wamemwaga nondo za kufa mtu!
Wengine hatuelewi kiswahili.inatusaidia kuelewa ikiwa kwa lugha ya kigeni
Tizo, kwa vile ni nondo nzito sana, lazima zishushwe kizungu ili hao wa kijijini, wasielewe, wakielewa sana, watafunguka macho, hivyo kuhatarisha usalama wa taifa letu, wakielewa kama wa Misri na Walibya, wanahatari ya kuja kutugeuzia Tanzania yetu, ya amani na utulivu, igeuke Taharir Squire!. Ili CCM itawale milele, lazima watu wa vijijini wabaki hivyo hivyo walivyo gizani!kweli ni nondo.lakini yule kaka na dada yetu mwenye uchungu na maisha kule Uswahilini ameelewa chochote?
Tizo, kwa vile ni nondo nzito sana, lazima zishushwe kizungu ili hao wa kijijini, wasielewe, wakielewa sana, watakuja kutugeuzia Tanzania yetu igeuke Taharir Squire!. Ili CCM itawale milele, lazima watu wa vijijini wabaki hivyo hivyo gizani!
Tizo1, kasumba ya matumizi ya lugha ya Kiingereza imetufikisha pabaya, mikutano yote ya maana, semina, warsha na makongamano, yote huendeshwa kwa Kiingereza.dah kweli ndugu.maana kila kinapoanza hicho kipindi nyumba nyingi hubadili Channel...utasikia wanasema "hatuelewi"