Baadae si aliuwa na hao viboko....kujifanya anaenda destination ya pili via migongo ya wengine.
Shujaa wa wiki ameuwawaThe crocodile is killed in the attack. Tanzania
CHINA
A labourer works on a steel structure at a financial building construction site,
as the cityscape is seen amid smoke from burning straw, in Hefei, Anhui.
..No way. huyo mamba aliingia choo cha kike lazima hao viboko walimbadirikia.Afro Denz ...Huyu mamba tumfanye ndiye shujaaa wetu wa WIKI HII..au vipi?
Safety issues ni zero kabisa
Safety issues ni zero kabisa
Mkuu unasemaje Safety zero wakati Jamaa ana Helmet with chin belt, ana safety Harness, ana Gloves
au sijakuelewa mwayego?
This is a very corageous Move ... keep it up!!!
Dunia imechoka sana.
Afro Denz ...Huyu mamba tumfanye ndiye shujaaa wetu wa WIKI HII..au vipi?
Baadae si aliuwa na hao viboko....kujifanya anaenda destination ya pili via migongo ya wengine.
Huyo mamba alikuwa anatafuta umaarufu wa bure wakati anaona wakuu wametulia
Mamba mchokozi, kapata alichokua anatafuta. Nice pics thanks.
Shujaa wa wiki ameuwawa
..No way. huyo mamba aliingia choo cha kike lazima hao viboko walimbadirikia.
10q AD.....especially hiyo ya construction na mamba/viboko...
Hata we ulikanyaga Jeshi mkuu..
Anyway
asante sana kwa comment yako..