Mkuu, Mbuzi Mzee, nakuheshimu sana kama binadamu mwenzangu, na pengine kama mkubwa wangu. Nakuomba ikikupendeza rohoni kwa nia njema uitoe hiyo link, sina nia mbaya ila kwa mwanamke yeyote atakaeiona hii video hilo pandikizi la chuki moyoni mwake halitakua salama kwa jamii inayomzunguka. Nakuomba ndugu yangu Tafadhali.