Huyu ni mama aliyeishi miaka ya nyuma kidogo. Aliachwa kijijini akiangalia watoto wake na kuangalia rasilimali zao. Baba yeye alikwenda mjini kutafuta, huku mama akipata watot kila alipoenda kumuona. Mawasiliano yalikuwa ni barua, so alipata ujauzito, akajifungua na baadaye kumuandikia mr wake kuwa amejifungua mtoto wa jinsia fulani, amabae baba humuona baada ya muda mrefu. Kumbe muda wote huo alikuwa akijipatia huduma mbadala kwa mama mtu mzima kuliko yeye na mkewe na walikuwa wakiishi wote. Baadaaye yule mpenzi wa baba aliumwa na hivyo, asingeweza kumuacha maana waliishi muda mrefu. Then, baba akaagiza mke aje kutoka kijijini na watoto. My God, yule mama kuja akakuta kumbe ndani kuna mke mwenzie mtu mzima kuliko wao but ni mgojnwa. Akaendelea kuishi na mumuwe wakimuuguza huyo mama mpaka alipofariki. Na wao wameendelea kuishi na wamelea watoto wao wamekua na sasa waote wamejitegemea, mama anasema kwa kweli anafarijika kuona wanawe wanaishi maisha mema na kuwatunza yeye na mumewe.
Kumbuka
Si kwamba naunga any of this man' s doing
1. Saiafiki kabisa wanandoa kuishi mbalimbali kama kuna uwezekano wa wao kuishi pamoja.
2.Siafiki mume kuwa na mwanamke nje ya ndoa hata mkewe yuko mbali.
But
Nimejifunza kuwa huyu mama alikuwa na mapenzi ya dhati kwa mumewe na watoto, na hakuona sababu ya kuondoka tu kwasababu mume wake amekosea. Na kwa style hiyo wameendelea kuishi kama mume na mke na kulea watoto wao.
na
Sisi wanawake wa sasa tunajifunza kuwa tunaweza kusimamia ndoa zetu, bila kujali mumeo kakukoseaje. Usikimbilie kumchukia, au kuondoka, SIYO NJIA NYEPESI YA KUTATUA MGOGORO WA NDOA.