Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Unamwona tofauti na wengine sio? We toa siri tu, ujue naandaa bakora yangu nikucharaze...Kwa nn nikuongopee babu, hatujafanya dhambi wallah vile yan had namuona wa tofaut
Unamwona tofauti na wengine sio? We toa siri tu, ujue naandaa bakora yangu nikucharaze...Kwa nn nikuongopee babu, hatujafanya dhambi wallah vile yan had namuona wa tofaut
Swali hapa ni "UMEJUAJE?"Babu hao wengine kukaa muda hivi bila kufanya dhambi n nadra usinichape babu
bakora tena babe
hapana babe na haitatokeaEti babe mr na wewe tumefanya dhambi kweli??? Babu kasema leo atanichapa
namsubiria hapa babuBora umekuja thibitisha
ahaaha am waitinNdo nn hun
hawezi kukuadhibu bila kosaOh unamsubiri babu??? Atakuja leo kasema bakora zinanihusu
me si nipo swetie unaogopa nn sasa?Silali nyumbani leo naogopa