This poem is beyond all relationships

This poem is beyond all relationships

Yani anataka nikubadilishe wewe na ng'ombe? Huyo jamaa ni msukuma wa wapi?
Babu, sasa sema kile unataka upewe hujasema unataka nn, ongea basi mana me mume namtaka
 
Kwanza uniambie ulichompendea afu unambie hali yake kwenye wallet ikoje... maana kuna haka kaghorofa nakokajenga kwa pesa za kustaafu naona kamefikia kwenye lenta wakati akaunti ishaanza kukonda
 
Hahaha babu hiyo s personal sasa? Me sjampenda pesa bwana japo alhamdulillah s haba anazo ananifanya nijione mwanamke ananifanya nijione nimekamilika ni vingi anafanya babu
 
Kwahiyo kwa kifupi mmeshatenda dhambi?
 
Hahahahhahahaha Mungu wangu hapana babu ila kwa nn jamani hahahahhah aisee
Maana sio kwa kumfagilia hivyo wakati mimi na bibi yako tunaamini utepe bado haujakatwa. Isije ikawa ulikuwa unatutoroka.

Thamani ya mahari inazingatia hilo...
 
Kwa nn nikuongopee babu, hatujafanya dhambi wallah vile yan had namuona wa tofaut
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom