This made my day...

This made my day...

Kwa nini usingetumia mfano wa mwafrika akiwa hadaa wazungu??? inferiority coplex inakusumbua. POOR MIND
 
Nadhani hii ni story ya Wachaga na Wapare! Mzungu Mchaga na Wanakijiji Wapare.

Kuna wakati Mrema alisema hawezi kuwa kama Mpare, kuhonga ngo'mbe kwenye kesi ya kudai mbuzi.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Hiyo ni treu stor ilitokea songea jamaa alikuja anahitaji zile shilingi akaenda kwa jamaa akanunua kama za milioni kumi na kumuachia milioni kumi amnunulie akaja akachukua mzigo nakumuambia amtafutie za milion 100 kumbe jamaa kamuuzile na nyingine zakutosha kilichotokea jamaa anasubiri hadi leo
 
Uliahasikia mtu anatafuta rupia?,ndio michezo yao hio,anatokea mtu anakwambia kuna mzee fulani yupo kijiji fulan ana hio rupia ukifika unainunua kwa gharama rudi tajir unakutana na manyoya au unaambiwa sio hii
 
Back
Top Bottom