Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,223
Mmmh.Yule ulisemaga "kifupi nyundo"![]()
Wanawake nyie wambea.
Kwa hiyo kuna vifupi nyundo sio??
Mmmh.Yule ulisemaga "kifupi nyundo"![]()
Eee tatizo nimezoea shambalai.basi nikatie tiketi hata ya dar lux tuu...simba mtoto hapana😎😎naliogopaKwani weye wa huko litokealo shambalai?
Sijajua siunajua mji mkubwa huu. Simba mtoto huitaki?
aka short chassis..😊😊Mmmh.
Wanawake nyie wambea.
Kwa hiyo kuna vifupi nyundo sio??
Hahahaha... kama mimi nawalaani.aka short chassis..![]()
Mmmhh...Haki nazeeka, eti hata sikumbuki
Hebu nikumbushe mwenza.
Kwani D wewe "short chassis "...??Hahahaha... kama mimi nawalaani.
"Kama mimi"Kwani D wewe "short chassis "...??
I can't believe..

"Kama wewe" ooh Lord have mercy 😂"Kama mimi"![]()
Nitakuchapa...nilisema kama ingekuwa mimi."Kama wewe" ooh Lord have mercy![]()
Haha...huyu ashakufa kwake kama kashaweka status ya jamaa bado kadata ashatargetiwa acha aende.
Unafikiri atakusikia wakati keshakufa??
Alaaa kumbee😂nilitaka kushangaa tangu lini morani akawa kama birika jomonii🙈,.Nitakuchapa...nilisema kama ingekuwa mimi.
Muulize mke mwenzio atakuambia.
Obvious you've taken a lot of beer!! After taking some bottle of beer ungenge comes automatically but unfortunately enough you make the floor wet full of your saliva!!!Tuliokimbia shule sasa... Ok let me try to speak ung'eng'e The girl like this is not interesting to you please my friend let her go and do your own vision not think more about realationship you will pain
Ung'eng'e umekuja kwa wakati...![]()
Unafikiri atakusikia wakati keshakufa??
Polee,.Kweli nimesahau mwenza![]()
Niko byee kabisaa..nilikuham tuu wa mimi,.
Hahahahha...kumbe walaga na weye![]()
Alaaa kumbeenilitaka kushangaa tangu lini morani akawa kama birika jomonii
,.



Ndio mwenza, nawahi kabla kikokotoo hakijabadilishwa maana mambo yashakuwa mengi.Polee,.
Hivi mwakani ndio unastaafu eeh![]()