HahahahZile za Oni sigalla eeh..?
HahahahZile za Oni sigalla eeh..?
Kwa hiyo ndiyo maana umekaa kimya? [emoji1][emoji1]Nakurusha roho kuona msimamo wako/kuona utasemaje labda ama utakavyoreact tu
Kimsingi hakunaga sababu ya msingi ila unajikuta tu unafanya hivyo(nimejibu kwa experience)
Wanawake wengi wetu tukipenda hatuwagi straight,lazima kutakuwa na ile zungusha zungusha kuwa assured na hisia za mwanaume anayenitaka
Boyfriend unaeza kukuta hana
Shindwa na ulegee.Wooyyooo...namm ntapanda ndege mwaka huu..
I understand.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
You have a point, but don't underestimate the levels of drama that ladies can reach when it comes to relationships!
- KANA -
Jirani.
Ulipo wewe...maana sio kwa ung'eng'e huo,.nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewe na vio_vio 🤓🤓Shindwa na ulegee.
Uelekee wapi vile?
Kwa hiyo ndiyo maana umekaa kimya? [emoji1][emoji1]
Mwenza tunaoteseka ni sisi tusiokuwa na wa kutufungia ujue[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekumiss mwenza...mwezi wa mahaba huu jomonii lazima nifungiwe ndani tuu,..
Heheheeiyyaaa wewe si ulimkata yulee...??😂😂Mwenza tunaoteseka ni sisi tusiokuwa na wa kutufungia ujue[emoji85][emoji85][emoji85]
Hivi shambalai halikuji huko ee??Njoo Arusha tujifunze un'gen'ge huhitaji hata ndege.
Wewe tu nakukatia tiketi ya simba mtoto.
Yupi tena huyo mwenza?Heheheeiyyaaa wewe si ulimkata yulee...??[emoji23][emoji23]
Kwani weye wa huko litokealo shambalai?Hivi shambalai halikuji huko ee??
Yule ulisemaga "kifupi nyundo"🙈Yupi tena huyo mwenza?
She has her targets... straight she is going to succeed.
Haha...huyu ashakufa kwake kama kashaweka status ya jamaa bado kadata ashatargetiwa acha aende.Ooh...okey. i bet those targets need her playing that way. So what's this dude supposed to do??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki nazeeka, eti hata sikumbuki[emoji134][emoji134]Yule ulisemaga "kifupi nyundo"[emoji85]
I'm too lazy to play those games.
But I can guarrantee to you a true love.
Futa ukishasoma.