Ukikauliza hata maana ya hayo maandishi hakajui.
tumiguu tumepauka...........
huko kama nanilihii vile
Nanilihiii huwa inapauka eenh?
Ahahaha....umewaza mbali!!!!!
Mimi nanilihii nimewaza LOCATION wewe umewaza TOOL,lol! binadamu tunatofautiana sana...
your dirty mind lol....
nilikuwa nasema hilo eneo alioko huyo mtoto