This is why you are still single

Nzuri mama ulikuwa haupo kweli au litelekeza Id?
Wee Yaache Mambo yalinizidia nikasahau hadi nywila mods nikiomba kureset password wananambia muangalie link Kwenye email nikiangalia hola,nikapotezea siku nikajaribu ikakubali ndo merudi tena humu kufungua ID nyingine niliona jau
 
mie sina shida na usingle comrade shida yangu ni hapo penye rangi.

Hatua kwa hatua ngazi kwa ngazi tutafika tu mimi ni mwanagenzi na mtozi wako Philip Mwihava.
 
Wee Yaache Mambo yalinizidia nikasahau hadi nywila mods nikiomba kureset password wananambia muangalie link Kwenye email nikiangalia hola,nikapotezea siku nikajaribu ikakubali ndo merudi tena humu kufungua ID nyingine niliona jau
Karibu tena mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…