englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hata ukiwa mwalimu sio wewe unaofaidi........maana hupati kuona kwengineko
hiyo laana ni ya kuivunja mana mtoto kakosa nini......uchafu wa baba alipizwe mtoto?........Ukimfanyia vibaya mtoto wa mwenzio jua na wako atafanyiwa vivyo hivyo.