Tatizo hamtaki kukubaliana na ukweli wa kwamba hata nyie wanawake mna moyo wa kikatili_ndio maana unaleta hoja za kung'ang'aniza ili tu muonekane watu wema na wenye huruma,...hamna kitu hapo kuna wanawake wabaya zaidi wanyama
Dena,nani kama mama for what?Kama mtu ameteseka kwa miezi tisa halafu anakufanyia mambo ya ajabu ana maana?Trust me hakufanyiwa lolote baya na baba!I'm sure of that!Awe ni baba yangu wa ukweli ama la i don't care!What i knw ni kwamba alinilea na kunipenda kwa miaka 27 mpaka alipofariki,what else should i care?
Najua kama inauma na sikwambii nirahisi hata kidogo ila ukiwa kama binadamu na huyu ni mzazi, asingekupenda angekuua tangu tumboni punguza hasira au niseme hutokuja kuoa na ukampenda mkeo sababu mzazi wako alikutenda au hutomwambia kama unampenda hata kidogo? mpe nafasi nnaimani moyo wako unaupendo japo kidogo kwa Mama ndio mana unaongea pole sana...Arabianfalcon,najua hakufanyiwa lolote na baba coz baba yake mama ambae ni babu aliniambia hayo,ok lets say alimtenda how is that have anthing to do with us?Bado tulikua na tutaendelea kuwa hivyo,whay hakututafuta?Hata kutuletea hata shati kwamba wanangu chukueni mashati?Sory AF i don't buy this!
Kokutona,sijasema wamama wote,ila baadhi ndo maana nimesema "for some people"i do "biliv"there are great mother out there but not all,don't genelize too!
Arabianfalcon,najua hakufanyiwa lolote na baba coz baba yake mama ambae ni babu aliniambia hayo,ok lets say alimtenda how is that have anthing to do with us?Bado tulikua na tutaendelea kuwa hivyo,whay hakututafuta?Hata kutuletea hata shati kwamba wanangu chukueni mashati?Sory AF i don't buy this!
Pole sana inaonekana umepitia mateso makubwa sana.
At least kuna mtu anashuhudia kuwa hata kina baba nasi tunaweza kulea.Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo kuliko wengine,mama yetu alitutelekeza jioni na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine,wakati huo my Late father(may his soul rest in peace)alikua amesafiri kikazi,toka siku hiyo sikumwona mama mpaka nilipotimiza umri wa miaka 13,tuliishi na baba bila ya baba kuoa coz hakutaka mapema tuteseke,mama alipokuja alituona kwa dakika chache tena kwa kulazimishwa na baba,Alipoondoka sikumwona mpaka nilipotimiza miaka 25 alipolazimishwa na marehem babu(apumzike kwa amani)ambae ni baba yake,tulikuja kuonana tena hosptl wakati babu anaumwa na hapo ni baada ya miaka mi3,mara ya mwisho nilimuona mwaka jana nilipoamua kwenda kumwona,kumbuka kwenye msiba wa baba hakuja,to be hornest with u,i don't feel anything for her!Pia sijui umuhimu wake,wala sijui mapenzi ya mama.Napenda nieleweke kua simchukii,najua yeye ni mama yangu,alinizaa na alininyoshesha,lakini haza ni majukumu yake!Hajawahi kunishawishi kwa njia yoyote kuwa yeye ni mama!Sasa kama huyu aliesikia uchungu kwaajili yangu yupo hivi,nitaona vipi umuhimu wa akina mama?Je kama mimi tupo wangapi?JE NI NANI KAMA BABA,I LOVE HIM MUCH,I WISH HE COULD BE HERE!
Nimekuelewa mkuu, japo mimi nilikuwa nachangia straight kwa mtoa thread.
Am sorry km imekuja km jibu la comment yako.
W of s,mama hakua kwenye ndoa ya mateso,pia ondoa mawazo ya kusema ni wachache sana,hebu angalia hii thread utaona tayari wamepatikana watatu kama mimi,je nani au wangapi hawajasema?