Tena umenikumbusha kitu.....speaking on mzinga wa nyuki. Hivi ulifikia wapi na kuukuza mzinga wako, maana ni kitambo sasa? Ningependa kuona maendeleo yako live live....unasemaje bibie
mimi49. Shhhhhhhhhhhhhh, usinijibu, nataka nikuone live ili nithibitishe. Lini utakuwa tayari?