Kwakweli kilamtu naona keshachoka na hali halisi ilivyo sasa.
kunasiku niliongea na wadau wakatwa kodi kutaka kujua utayari wao wa kushiriki kuichangamsha serikali katika shunguli zake. Asilimia kubwa ya niliowahoji walikua tiyari kwa asilimia 100%.
Tatizo ni nani atoe tamko la matakwa ya raia ndio likabaki kuwa gumu.
Kwa sasa nadhani wadau wa TUCTA wanaweza wakawa mstari wa mbele kuwaongoza walipa kodi kuiomba serikali kubainisha kushungulikiwa kwa haraka zaidi wafuja kodi zetu.
Kama walimu wameweza kuonyesha cheche nadhani pia waajiriwa wa sekta easmi wote wakiungana kutema cheche moto utawaka.
Moto tunaotaka uwake ni wa kuondoa baridi kali inayotaka kutukabili.
Naelewa moto kama huo ukiweza kuwaka kwa kweli uchumi wa nchi utakua unatikisika kwa kua ukichukulia mfano wa kiwanda kama cha sigara kinachozalisha sigara takribani 6000 kwa dakika ambapo kodi ya sigara 1000 kwa kodi ya mwaka 2008 ni
(b) Sigara zenye kichungi na zinazotengenezwa kutokana na
tumbaku inayozalishwa hapa nchini kwa kiwango cha
angalau asilimia 75, kutoka shilingi 11,266 hadi shilingi
12,618 kwa sigara elfu moja;
which means the sirikali inapata 12618 * 6 = 75,708 kwa dakika. say hawa jamaa wana mashine 5 za hivi inamaana watapata 378,540. In one hour 22,712,400 and for 24 hours will be 545,097,600.
sasa wajameni hiki ni kiwanda kimoja tu na just a single day. Mwaka ukiisha ukipika hesabu unaweza ukashangaa kwanini watanzania tupo hapa.
Nadhani kuna sababu za msingi za kuhoji matumizi halisia ya hizi kodi za viwandani na tunazokatwa watoka jasho.
Kwa wanaodhani labda nimeweka makisio ya juu kwenye hiyo mashine ya kufyatulia fegi wagonge
hapa