Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Speed 100~120 me naona inafaa kabisa kwa basiMwendokasi ni chanzo cha ajari.
Usisahau pia siku izi mabasi ni mazuri na salama pia sio enzi zile basi brake ya kutafutaila tumsifia magufuli na bosi wa traffick ... siku hizi ajali zimepungua sana... zamani mwisho wa mwaka huuu ajali kibao
Na ndiyo speed inayotumika kwa hayo mabasi huko yalikotengenezwaSpeed 100~120 me naona inafaa kabisa kwa basi
Mkuu umefikiria usalama Wa Mali za abiria Usiku huo???Me nadhani Kuna umuhimu wa kupitia sharia zetu.. wangeruhusu basi zitembee usiku kucha unatoka zako ubungo saa 1 usiku unaingiaa mwanza asubuhi tu.
Mkuu Qurie ka tunaweza kuweka traffic walioshika speed tochi maporini na vichakani nn kinashindikana kuweka vijana wetu wa jeshi la polisi sehemu hatarishi wapambane na hao waarifu.Mkuu umefikiria usalama Wa Mali za abiria Usiku huo???
Going back boss!!Dodoma to Dar? 10 Hrs! Nimekumbuka miaka ya nyuma wakati miundombinu ikisemwa kuwa haikuwa na ubora na pia ilikuwa finyu lakini tulikuwa tunatumia masaa 5! Hivi tunaenda au tunarudi?
Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....Mkuu Qurie ka tunaweza kuweka traffic walioshika speed tochi maporini na vichakani nn kinashindikana kuweka vijana wetu wa jeshi la polisi sehemu hatarishi wapambane na hao waarifu.
Me naamini inawezekana wakiamua!Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....
Wakajifunze kwa majirani zetu Kenya wamewezaje.Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....
Sheria huundwa kutokana na mahitaji. Kuhusu hili miaka ya nyuma magari yalikuwa yanasafiri usiku na wataalam walianza kwa kuweka mawe/magogo barabarani na wakamalizia na SMG. Lakini vilevile baada ya barabara hizi kuwekwa lami, ajali za ajabu zilianza na ajali hizi nyingi zilitokea usiku. Swali la kujiuliza ni jee hali ya sasa ki usalama ikoje? na jee ajali zimepungua.Duuuh kweli utawala wa magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi
Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za hivi karibuni
Nimetumia takribani masaa 17 kutoka Moro kwenda Mwanza
Safari inachosha sana ,na ukifika kwenye Zebra hata kama hakuna mtu anavuka simama atleast Dk 1 au sekunde kadhaa then endelea kukanyaga mafuta
Madereva wa mabasi wamepewa masharti watembee speed 50 mpaka 80 ukizidisha fine au uwe umetoa rushwa.
Yani MTU anatoka DSM kwenda Washington kwa ndege kama Boeing au Airbus anawahi kufika lakini wewe wa kutoka Daslam au Moro kwenda Mwanza bado tu unahangaika na siti yako
Bora kupanda pangaboi walahi nasema.
Mmmmhhhh, Ajali nyingi ziko au zilikuwa mchana kuliko usiku.Sheria huundwa kutokana na mahitaji. Kuhusu hili miaka ya nyuma magari yalikuwa yanasafiri usiku na wataalam walianza kwa kuweka mawe/magogo barabarani na wakamalizia na SMG. Lakini vilevile baada ya barabara hizi kuwekwa lami, ajali za ajabu zilianza na ajali hizi nyingi zilitokea usiku. Swali la kujiuliza ni jee hali ya sasa ki usalama ikoje? na jee ajali zimepungua.
Kwa maoni yangu ni bora kufika mwanza ukiwa umechelewa,umechoka n.k kuliko unakuwa maiti kabla hata ya kufika mwanza.
Mkuu Abunwasi unafikiri vyanzo vingi vya zile ajali vilikuwa vinasabishwa na nini? Speed.. ubovu wa magari.. uzembe wa dereva au miundombinu duni???Sheria huundwa kutokana na mahitaji. Kuhusu hili miaka ya nyuma magari yalikuwa yanasafiri usiku na wataalam walianza kwa kuweka mawe/magogo barabarani na wakamalizia na SMG. Lakini vilevile baada ya barabara hizi kuwekwa lami, ajali za ajabu zilianza na ajali hizi nyingi zilitokea usiku. Swali la kujiuliza ni jee hali ya sasa ki usalama ikoje? na jee ajali zimepungua.
Kwa maoni yangu ni bora kufika mwanza ukiwa umechelewa,umechoka n.k kuliko unakuwa maiti kabla hata ya kufika mwanza.
Miundo mbinu futa kabisa ila jadili mengineMkuu Abunwasi unafikiri vyanzo vingi vya zile ajali vilikuwa vinasabishwa na nini? Speed.. ubovu wa magari.. uzembe wa dereva au miundombinu duni???