This Is The Real Pharmacy.

This Is The Real Pharmacy.

Ni kweli kabisa aisee maji ni tiba kubwa sana kiongozi bila ya kusahau maji ni uhai mkuu.
vip kuhusu haya maji ya viwandan kama Kilimanjaro Uhai Masafi nk ni salama ki afya
 
vip kuhusu haya maji ya viwandan kama Kilimanjaro Uhai Masafi nk ni salama ki afya

Kadri siku zinavyokwenda mambo yanazidi kuongezeka mkuu. Zamani watu hawakuwa wakinywa haya maji, watu walikuwa wakitumia natural water kwa mfano Chem chem, visima vya asili, mabwawa, mito, maziwa, maporomoko nk

Ila siku hizi ni wachache sana hutumia hayo maji, wengine huwa wanachemsha maji kwa ajili ya kunywa kwa mfano watu wa Dar hutumia maji ya Mto Ruvu kwa ajili ya kunywa ila mpaka yanawafikia huwalazimu kuyachemsha ili kuyafanya yawe safi na salama kwa matumizi ya binadamu.

Sasa haya maji ya viwandani yana kemikali nyingi sana wanaongezea ndani yake ambazo hazipo kwenye maji ya asili niliyoyataja hapo juu. Sasa kutokana na hayo maelezo hapo juu hebu tusubiri wataalam na wajuzi wa mambo watuambie kuhusu hilo suala mkuu.

Ahsante Sana.
 
Sasa haya maji ya viwandani yana kemikali nyingi sana wanaongezea ndani yake ambazo hazipo kwenye maji ya asili niliyoyataja hapo juu. Sasa kutokana na hayo maelezo hapo juu hebu tusubiri wataalam na wajuzi wa mambo watuambie kuhusu hilo suala mkuu
Wataalam gani tunao wasubiri waje kutuelezea haya mambo mkuu? Wataalam wetu wengi akili zao zimeshakua corrupt. Wanaangalia na kutufundisha kupitia kwenye vitabu vilivyo andikwa na destroyers wetu na wao wana endorse tu kila wanachofundishwa

Maji ya kunywa ya viwandani ndio ajenti mkubwa wa kuleta magonjwa hasa yasio ambukiza kama homa ya ini na hata kansa
 
Habari njema ni kwamba bongo junk food hazijawahi kuwa bei rahisi.

Mihogo fungu elfu 2000 town/mkate 2400.

Nazi 1000 town/korie 3400 litre

Sukali 3400kg/asali 2500 robo.

Machungwa fresh 2500=25/mango juice 2500 litre.

Pizzer moja 10000/makande kwa parachichi haifiki 2000 mgahawani.

Icecream 1000-8000/stafeli ni,fenesi,au topetope halizidi elfu 3000.

Pepsi,coca 500/na muwa mmoja ni 500.

Michapati 250-500/andazi la kuoka 500.

Kung fu,MO,azam energy 600-2500/kahawa ni 100 kikombe.

Kama mtu ataamua kuendelea kutumia ni kwa kiherehere chake.
Hahaha,nimependa huu mchanganuo.Kwa kweli bongo ukila Junk ni ukiherehere tu aise.Bila kusahau tikiti maji mkipande TZS 200.
 
Hahaha,nimependa huu mchanganuo.Kwa kweli bongo ukila Junk ni ukiherehere tu aise.Bila kusahau tikiti maji mkipande TZS 200.

Ni kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom