gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,584
Aisee!Kuna nchi sababu ni za msingi kama syria au hata eritrea au dprk mkono wa chuma wa watawala ndo unazalisha wakimbizi lakini hizi nyingine kweli marisk taker.Mbaya saana mzee, wakati mwingine mafanikio huja baada ya kurisk!