This is the other side of Dubai

This is the other side of Dubai

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
[h=3]
[/h]
Expatriates working in Dubai below the salary range AED 500 end up living within the accommodations like this, if the company accommodation is not provided. May God Bless them all to find the work in their own country. Rather than come here and suffer in this plight …These are actual shots taken in Al Quoz Area – Dubai.

Ngoja jamaa yao anakuja kuwatetea hadi mipovu inamjaa!! Mwarabu anakuchinja Huku akikuombea dua njema!! Na anakuaminisha kuwa usijali! Eti kakuchinja kihalali!!!
 
Wanaonekana kama watu wa sri lanka au india vile kuna nchi uchumi wao sio tia maji saana lakini watu wao wanakimbia huku na kule hata ethiopia huwa nashangaa sana.
 
Siwezi kataa mada ila inategemea unaenda Dubai kwa kazi gani binafsi nawajua watu pia namjua mtu wangu was karibu ambaye anaganya kazi huku Dubai katika mall maisha yake ni mazuri hakuna mfano ndani ya miezi mitatu amepewa gari pia anaishi katika apartment akiwa roommates wenzake na analipwa vizuri tu ,mwingine yupo katika oil industry yeye Naye Yuki vizuri zaidi sasa hawa sijui imekuwaje ,hata Mimi Nina mpango wa kwenda huko mwaka huu coz tayari Nina contacts
 
Halafu mkuu jaribu kujua lugha na maana zake expatriates ni mfanya kazi mgeni tena aliyebobea katika fani flani na huwa wanaombwa na taifa au wanakuja kwa shughuli maalum pia ni wasomi haswaaa wanatambulika na nchi zao na wanaheshima yao katika nchi husika wanayoifanyia kazi
 
Hao hapo ni immigrants workers na wengi hawana elimu ama wanaishi kiujanja au mikataba yao ya magumashi naamini hata watawala was Dubai hawalijui hili
 
Wanaonekana kama watu wa sri lanka au india vile kuna nchi uchumi wao sio tia maji saana lakini watu wao wanakimbia huku na kule hata ethiopia huwa nashangaa sana.
Ethiopia population ndio inawafanya wakimbie...
Fursa zoooote zimedakwa na walioanza so wakimbizi wanaamini watatoboa maisha abroad wakiamnini fursa huko ziimejaa!
 
Ethiopia population ndio inawafanya wakimbie...
Fursa zoooote zimedakwa na walioanza so wakimbizi wanaamini watatoboa maisha abroad wakiamnini fursa huko ziimejaa!
Ila kweli hata waindonesia wanakimbilia sana malaysia,taiwan,saudi arabia nk na safari yenyewe matter of death or death manake chances ya kufika salama inakuwaga very slim!Wanatumia mamilioni kukimbia na misukosuko ya kutosha yaani hapo mi ndo nachokaga kabisa na wengi wameishia kwenye majela ya nchi mbalimbali.
 
Maisha hayo yapo Dunia nzima,
Sijaona la ajabu,

The other side of Dubai My Foot!
 
Ila kweli hata waindonesia wanakimbilia sana malaysia,taiwan,saudi arabia nk na safari yenyewe matter of death or death manake chances ya kufika salama inakuwaga very slim!Wanatumia mamilioni kukimbia na misukosuko ya kutosha yaani hapo mi ndo nachokaga kabisa na wengi wameishia kwenye majela ya nchi mbalimbali.
Mbaya saana mzee, wakati mwingine mafanikio huja baada ya kurisk!
 
Back
Top Bottom