This is so embarassing

Tuna tatizo la zaidi ya lugha, kwa sababu wengi kati ya hao wasomi hata Kiswahili hawawezi kujieleza kwa ufasaha. Mpaka viongozi wetu.

Ukienda kwenye Kiingereza ndiyo janga la taifa. Na kama ni mtu ambaye maisha yako hayahusiani na matumizi ya Kiingereza, labda hili linaweza kuwa si muhimu, lakini kama umesoma angalau kwenye shule za sekondari basi ni muhimu.

Nakumbuka tulivyokuwa sekondari Tambaza tulikuwa tunazungumza Kiingereza hata nje ya darasa kwa nia ya kujifunza, wengine waliona ubishoo. Leo nimekuja kugundua kwamba ule utashi wa kusoma vitabu vya Kiingereza na kuzungumza lugha hiyo umenisaidia sana katika kazi zangu za kimataifa.

Leo hii Mtanzania akiandika Kiingereza cha "The Economist", "The New York Times" au "The Wall Street Journal" (publications I subscribe to) anaonekana anaandika lugha ya ajabu.
 
Vzur sana mkuu, nashukuru kuona kua kuna watu wanaotambua umuhimu wa haya niliyoyasema

Kudos to you
 
Ndugu zangu mnaompinga mtoa hoja nadhani hamjamuelewa vizuri. Sijui kama mnaelewa maana nzuri ya formal language..
 
Ndugu zangu mnaompinga mtoa hoja nadhani hamjamuelewa vizuri. Sijui kama mnaelewa maana nzuri ya formal language..
Naomb uongee mkuu tafadhali. It will make an emphasis and maybe, they will be able to learn a thing or two
 
Me nashangaa wabongo wanaofananisha wasomi wa kitanzania na kichina.

Wenzenu wanasoma kwa kichina hadi chuo.

Msomi wa Kitanzania asiyejua kujielezea kwa kiingereza ni aibu.

People around you affect you a lot too. My command of the English language has been greatly diminished. If it weren't for books I'd have completely forgotten this language by now.
 
I like your thinking. The feeling is mutual
 
China ina watu bilioni 1.4, mara 28 ya Tanzania. Ndiyo nchi ya kwanza kwa watu wengi duniani. Ni uchumi wa pili kwa ukubwa duniani.

In 2014 China had a GDP of $10.36 trillion, we couldn't even touch $50 billion, having bagged $49.18 bn.

Halafu mtu anataka kufananisha Tanzania na China.
 
Ch China is the world's largest and second super power. It's economic worth can only be challenged by the US. Thus china has the economic wealth and an ego to match, they even make it mandatory for foreigners to study their language ( Chinese ) in their universities. They make their own rules, so if you want to trade with chinese, you will have to play by their rules.

Back to the topic
Tanzania is a small nation, so it is very hard for her to make her language ( Kiswahili ) to be the used in formal or official matters.

It's a BIG MISTAKE to compare China with Tanzania, it is not fit even by the stretch of imagination.

Ili uweze ku-boast about your culture ( language) lazima uwe economically strong, kias kanakwamba mataifa mengine yaone kuna umuhimu mkubwa wa kujifunza lugha kutokana na faida kubwa za kibiashara wanazoweza kupata wakiweza kuijua lugha yako.
 
Wewe mwenyewe kiswahili tu kinakutoa jasho, halafu unalaumu wenzako, teh, teh, teh, teh!
 
Kweli mkuu, zamani walisema kingereza sio lugha yetu ndio maana watu wanakosea. Ajabu ni kwamba ukifuatilia mabandiko ya watu wengi katika mitandao ya kijamii ama mahojiano katika radio na televisheni, mpangilio,maneno na usahihi wa kisarufi wa kiswahili chetu unatia kinyaa! Mwishowe unakuja kugundua tatizo sio lugha,tatizo ni ufahamu! Watu wengi hawataki kukiri ukweli huu. Ni ajabu sana unakuta mtu ana elimu kubwa ila si mahiri kama vyeti vyake vinavyoaminisha. Tatizo, kucha kuchwa tunajilisha visivyo vya manufaa toka mitandao,televisheni na radio! Kutwa tunafuatilia burudani (kwakua zinafurahisha) ila hazijengi ufahamu wetu na kuongeza umahiri wetu kimtizamo,kitaaluma.

Shime ndugu zangu, tujibidiishe. Mwambie muhitimu wa chuo kikuu chochote Tanzania, atunge na kuandika habari moja kwa lungha mbili tunazofundishia: Ukurasa mmoja kwa Kiswahili na Ukurasa wa Pili kwa kingereza! Nina uhakika asilimia tisini na tano kutakua na makosa ya kuogofya!

Lakini hatupendi kuambiwa ukweli,tunajificha nyuma ya sifa ya uongo

Niishie hapa kwa sasa!
 
Dah, huwa natamani kuwa na watu kama msemaji wa mwanzo na wapili baada ya Mimi maishani mwangu kila siku ya mungu, you guys awesome.
 


99% yao ni wahitimu wa Chuo Kikuu Dar, kweli inasikitisha.
 
Mabadiriko=Mabadiliko
Bira=Bila
Sorry mkuu sina nia kukukosoa nimeona tu kuitendea haki lugha yangu,pia wakati tunajifunza kiingereza tusisahau kujipiga msasa kwenye lugha yetu ya Taifa.
Nashukuru sana mkuu. Tupo pamoja
 
You nailed it. You scored a bull's eye on the target. Kudos to you
 
99% yao ni wahitimu wa Chuo Kikuu Dar, kweli inasikitisha.
Na wewe unawapotosha watu..unataka wale ambao si wa chuo kikuu cha Dar wajione wote wapo vizuri au mahiri...hii ni changamoto imetolewa kwa wasomi wote kwa hiyo wahamasishe watu watafakari na kuchukua hatua.
 
Mabadiriko=Mabadiliko
Bira=Bila
Sorry mkuu sina nia kukukosoa nimeona tu kuitendea haki lugha yangu,pia wakati tunajifunza kiingereza tusisahau kujipiga msasa kwenye lugha yetu ya Taifa.
Ningekuwa na uwezo wa kubonyeza like 500 ivi, zingekuhusu.
 
Mahojiano mbali kote huko. Msomi akikuandikia ujumbe wa simu (arafa), ni kichekesho
 
Nimesoma uzi wako mpaka uliposema WASOMI KISHA UKAUNGANISHA NA KIINGEREZA KILICHONYOOKA, nimetambua kuwa kwako usomi ni kiingereza kilichonyooka!
 
Ningekuwa na uwezo wa kubonyeza like 500 ivi, zingekuhusu.
Mtu mwenye akili finyu na uelewa mdogo wa mambo utamjua, badala ya kujadili hoja kuu na ya msingi, anatumia mda wake kutafuta makosa madogo madogo.

Hauna tofauti na mwanafunzi ambae anapenda na kukumbuka sana vichekesho vya mwalimu kuliko somo linaloendelea darasani kwa muda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…