Hehee, technolojia inatupeleka mbali sana. Click hiyo link halafu kwenye video itakayotokea, fanya jaribio la kumgusa puani huyo jamaa kwa kutumia cursor yako. http://www.selfcontrolfreak.com/slaan.html[video]http://www.selfcontrolfreak.com/slaan.html[/video]
Hehee, kuna watu hawana kazi nyingine zaidi ya hii ya kucheza na komputer. Mimi nilistrugle kabisa kutafuta namna ya kusogeza cursor kwenye uso nikashindwa kabisa.