This is my true story

This is my true story

Huu mwandiko bwana na mtu wa masters Marekani naona vinaendana kabisa
My friend never complicate things without thinking about others realization. I have just decided to maintain simple and normal language so that each person of each race can understand and provide advice.
(I always have a tendancy of respecting everyone, it doesn't matter his/her race, ethnic, religion, education level, age or financial level, that's is how iam)
My friend mind that, this education which we have it just passes, nothing stays permanent in this world and at the end all what matters is respect, love and kindness.
 
Mkuu mleta uzi soma alicho andika dada hapa na nilicho andika mimi havina tofauti. Naomba tusiwalaumu hiyo ndio nature yao walivyo umbwa.

Hakuna long distance relationships inayobaki salama. Katika 10 ni 0.5 tu.
Nashukuru kwa ushauri ndugu yangu, ila mtu ambaye hathaminiki hata umfanyie nini mwisho wake huwa majuto tu.
 
My friend never complicate things without thinking about others realization. I have just decided to maintain simple and normal language so that each person of each race can understand and provide advice.
(I always have a tendancy of respecting everyone, it doesn't matter his/her race, ethnic, religion, education level, age or financial level, that's is how iam)
My friend mind that, this education which we have it just passes, nothing stays permanent in this world and at the end all what matters is respect, love and kindness.
Hiki kingereza cha ras simba mbona hebu panga vitu kiuana sheria wewe ni level ya masters
 
Hiki kingereza cha ras simba mbona hebu panga vitu kiuana sheria wewe ni level ya masters
Hayo ni mawazo ya akili yako na mimi siwezi nikakuzuia wewe kuwaza hivyo.
 
Kwa maana nyingine unatafuta mchumba humu?....Hata mimi ningejua ningemgongea mbali
 
Pole sana bro mm yalinikutaga nipo chuo mwaka wa tatu nilipenda aise... hakika nilipenda na tangu nilipopona moyo mpka leo sijawahi penda tena japo napata mwanamke anaenipenda na kudhihieisha ila sijaweza kupenda tena nahisi moyo ushakufa siku nyingi yaani.

Mchumba hasomeshwi..ni kuingilia majukumu ya wazazi wake ama ndugu zake na wanawake hawanaga shukran most of hawa watu..
Duuh kumsomesha ni kuingilia majukumu ya wazazi wake ila kumtawala siyo kuingilia mamlaka ya wazazi wake eti?
 
Tunarudia tena na tena na tena, demu hasomeshwi. Endeleeni kujitia wazimu
 
Na kila ikifika tarehe 23 mwezi wa nane wa kila mwaka
Dear Challya 'Sometimes in Agust' give this title to this episode of yours.

Ninakusihi usipeleke tena Maua makaburini ikifika 23/8/2019. Unamshurutisha kukupenda na huku aliamua yeye kukusaliti na kukutukana wewe pamoja wa wazazi wako walotangulia mbele za haki. Walikasirika na kuamua kumwita ili waungane naye. Makaburini ni pahala pa walionyamaza.... usiende kulialia unawapigia kelele... wewe na mimi tungoje siku ya kuungana nao katika ukimya!

Ninajua Janeth alikuwa ni kampani yako kuu kuziba pengo la upweke wa kuwa mtoto pekee yaani alikuwa ni dada na kaka katika moyo na nafsi yako. Msamehe na uambie moyo uponeshe jeraha hilo na uruhusu kuweka mwingine pahala pake. Mungu hakumuumba Janeth kwa ajili yako.... Yupo aliye wako.

maneno haya yatakufaa sana maishani 'hili nalo litapita'. iwe ni wakati wa furaha ama huzuni/majonzi.
 
Haya ndio mapenzi
Ukisoma haya... Changanya na unayokutana nayo
Moyo unakufa....... Mapenzi yanakufa akiri inasimama kazi zinayumba
Mungu aliumba mapenzi na ili tufarijiane tushauriane tuoneshane njia
Ila leo kupenda tunaogopa.... Akiri haitulii tunawaza kusalitiana
Wanawake wamekua kama hawajari
Inauma........
Haya ndo maisha na hayo ndio mapenzi
Kikubwa tushukuru TUNAISHI
TUNAPUMUA

AMINA!
 
Kumwacha mwanamke ulompenda kweri ni kazi ngumu
Kunawakati unatamani hata akutext
Mbali nakukufanyia vibaya bado unatamani umpe muda wako ila wapi......
Mimi leo nawaza pesa na wazazi wangu tu
Pesa ikiingia hayo ndo muhimu

MAPENZI!
 
Back
Top Bottom