Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
- Thread starter
-
- #81
Kwenye main floor plan sijaona sababu ya breakfast corner hapo kwenye family room. Kitchen ni kubwa ya kutosha na plan ni kuwa na jiko kati so breakfast can be done there. Hapo nawaza kusave space for the kitchen and the master bedroom.
Sijaona laundry room,kwa ajili ya washing and ironing.
Hebu nisaidie tafauti na kazi za family room na living room kwanza.
Ila big up, work hard and chase this dream. It is very possible. Bila ndoto ya kuanzia hela zikikufumania lazma ufanye ushamba!
Keep it up! Mwanaume wa kweli, huota na kupanga mipango ya baadaye! kaza buti!
Mwisho wa siku utalala chumba kimoja tuu na mkeo,Vingine havitakuwa na kazi:flypig:
Hamna mkuu,kiroho safi kabisa
hilo sio tatizo sana mkuu...kwa kuwa mimi ni mtaalamu wa IT nitaweka security ya kutosha camera hadi chooni pamoja na automatic doors and windows.
Uko juu saaaaana mtu mzima...
Akili ni nywele kila mtu anazake. Kama hizi ni akili zako na kweli umeagiza ramani toka USA naomba nikushangae tu nisikupe hongera wala kukulaumu maana sijui chanza cha mapato yako. Ingekuwa hiyo avator ndoo sura yako halisi, ningeuliza swali la kizee kwa kizungu, At your age, where did you got that kind of money? Otherwise I'm meant to understand that you are real "young master" doing 419 business. Goodluck
sio utani, namshauri aagize hata kiwanja maana viwanja vyetu hapa bongo sio vizuri anacha na vile visivyopimwaAkili ni nywele kila mtu anazake. Kama hizi ni akili zako na kweli umeagiza ramani toka USA naomba nikushangae tu nisikupe hongera wala kukulaumu maana sijui chanza cha mapato yako. Ingekuwa hiyo avator ndoo sura yako halisi, ningeuliza swali la kizee kwa kizungu, At your age, where did you got that kind of money? Otherwise I'm meant to understand that you are real "young master" doing 419 business. Goodluck
Nyumba nzuri hiyo mkuu!!!
Make it happen!!!
sio utani, namshauri aagize hata kiwanja maana viwanja vyetu hapa bongo sio vizuri anacha na vile visivyopimwa
Tunakaribia uchaguzi mkuu, umeshaingia chama tawala?Ha ha haaaa!!! Itajengwa tu mkuu hata kama ikiwa bilioni 100...Maana waswahili wanasema kipandacho roho....
Tunakaribia uchaguzi mkuu, umeshaingia chama tawala?