Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Andaa si chini ya billion moja.
Ha ha haaaa!!! Itajengwa tu mkuu hata kama ikiwa bilioni 100...Maana waswahili wanasema kipandacho roho....
ndoto zingine bwana
hii siyo nyumba ya neyo kweli...
hii ndoto imeshaotwa na imetimizwa...dream yours aisee
hii siyo nyumba ya neyo kweli...
hii ndoto imeshaotwa na imetimizwa...dream yours aisee
Ndoto huwa inaotwa upya na kutimizwa na mtu mwingine pia
Ukianza kujenga unipe kazi ya kusimamia mafundi,naamini hadi unamaliza hapo na mimi ntakuwa namalizia tuvibanda twangu,kale ka bonyokwa na kale ka kigogofresh
Jumba lote hilo wewe kwani tembo?