" this is like finding forever" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

" this is like finding forever"

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by x-tchar, Apr 8, 2011.

 1. x

  x-tchar New Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kama mwaka wa pili now natafuta kazi za engineering,IT,COMPUTER KIDUME SIPATI...nipe advice what am i suppose to do...to get a job, well paid one....
   
 2. p

  pihu Senior Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aiiiii jemeni..........ulikuwa wapi ol dis tym, kampuni yetu ilikuwa inatafuta maengineer nilitangaza humu humu na niliwapata.........vl kip u in mid if thr z ny ada vacancy ntakujulisha....tena ulivyosema salary ilikuwa bomba...:(

  pole better luck next time!
   
 3. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kidumu chama cha mapinduzi
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kidumu cha chama cha mapumbuazi
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Karibu jamvini chijana....naona post ya kwanza na kilio, pole sana ila usijali, JF utapata msaada

  Ila nikushauri hapo kwenye red...najua vijana wengi tunakuwa very ambitious kupata kazi ambayo keshokutwa utanunua gari na maendeleo mengine ghafla ghafla....hii wakati mwingine inatufanya kupuuzia baadhi ya kazi na kujikuta tunasotea "benchi".........Nakumbuka when i graduated nilikuwa na ndoto ya kupaa mawinguni mara baada ya ajira yangu ya kwanza and i was looking for a better paying job na ku-turn down kazi nyingine...

  Ushauri wangu tafuta kazi hata ambayo "hailipi sana - better paying job" ilimradi inalipa then ule uzoefu utakunyakua na kwenda kazi nyingine inayolipa zaidi....Si unajua siku hizi better paying Job wanataka uzoefu wa kazi miaka 50?
   
Loading...