This is how Shetan Always stops you from doing good deeds..... Beware from the whisper of the Devil

This is how Shetan Always stops you from doing good deeds..... Beware from the whisper of the Devil

mimi ndio maana nampenda sana hitla na watu wa namna wanaokuja kuithibitishia dunia kwamba hakuna binaadamu mwenye mungu kuzidi mwingine.

Yeah...true kabisa
 
hayaa kaka sababu sio vizuri kujadili kitu ambacho kimsingi huna tafsiri za moja kwa moja maana usijeambiwa unakufuru bure.asubuhi njema.

ahahahaaaaaaaaa...au utaambiwa kuwa utachomwa moto...lo!
 
481458_473260492712266_1230681697_n.jpg


Shetani anamzuia jamaa asimsaidie masikini mlalahoi oneni jamani shetani alivyokuw ana nguvu.
Shtani ni mweusi na mweupe pia
 
Back
Top Bottom